kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Familia gani mkeo nabii titoMimi na familia yangu nitapiga kura turudi nyumbani
Tukishampigia kura Magufuli na Ccm tunaenda kupumzika
Nimeskia kuna mtu amekata tikit ya kurudi kwao ubeligiji baada ya kuona Watanzania wamamkataa