RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

Jeshi wanafundishwa kuua adui wanapokuwa vitani. Kuruhusu jeshi kufanya kazi za kipolisi ni kuvunja haki za binadamu na kuleta uhasama wa raia na jeshi, ambao baadhi yao huishi uraiani.

Uharifu Tabora upo kwa kiwango cha juu, lakini kila mkuu wa mkoa ajae haanzishi mikakati ya kupunguza kiwango cha umasikini wa kutupa uliopo katika wenyeji asilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeshi lisilo na nidhamu ni sawa na genge la wahuni tu,sasa hapo Polisi na wao wanapata chambichambi,ukilala kituoni,kutoka mpaka mtoe ganji.
 
Primitive ways of life.
Nasikiasikia eti wanavutaga kwanza ili kuondoa woga ili wachakaze hata mjamzito.
 
Hakuna aliye juu ya sheria... Ila Wanajeshi ndiyo zao kujichukuliaga sheria mkononi... Poleni sana...



Cc: mahondaw
 
Acha ulimbukeni wa kishamba na kizamani ww askari atupo hivyo jeshi ni umoja na nidhamu kumpiga mtu inategemea na sio kupiga piga tuu eti kisa ww Askari Jeshi acha izo ww ulimbukeni na ujinga tu uliopitiliza unazani kuwa mwanajeshi ndo mwisho wa maisha kuna maisha baada ya jeshi eti kisa ulipiga coz ikawa ngumu upo rts au officer cadet bac unataka lipiza mtaani uku ulimbukeni uwo...
Kuwa mjeda yaani jeiwii raha sana natamani ningekuwepo hapo tabora mngenyoooka hatupendag upusipusi

121.
 
Hata jiwe hakubaliani kabisa na kitu kinachoitwa ujambazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alikua FFU sasa kipindi yuko huko full ubabe yani kupiga raia utafikiri ye hajazaliwa na binadamu, sasa juzi nmekutana nae kadhoofu kuja kuulizia kumbe alifukuzwa kazi.

Nilimuonea huruma sana na nawashauri vijana waluoko majeshini wajifunze kuwa kuna maisha baada ya jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ko unatuchongea kwa mkula et 🤔🤔🤔
 
Hata wewe ungekuwa near ungekula over
 
Hapo umenena ukweli ni wakati muafaka kujitathmini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wajeda ni wale wachache wasio na shule kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…