Vyombo vya Usalama mkoa wa Tabora vimemkamata na kumshikilia mwanaume mmoja kwa makosa ya kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, akidaiwa kuandika maneno yenye nia hiyo kwenye nyumba za watu, ambapo Mkuu wa Mkoa huo Paulo Chacha ametoa tamko rasmi la kuanza oparesheni ya kuwasaka watu wengine wenye mkakati huo na kwamba wakikamatwa hawatavumilika
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV