Chalamila Maneno Anayatupa Hadharani Akijisahau Kabisa Kuwa Dar Es Salaam Ndiyo TanzaniaHuyu jamaa tunamwangalia tu.
Siku yake ipo.
Tanzania Wajinga Ni Wengi SanaSijawahi kujua km huyu kijana aliyepewa cheo ni mjinga hivi
Amevimbiwa SanaMropokajii huyo
Domo lake halina break
Ova
Exactly [emoji817]!! Hivi Kwa nini mtu kama huyu anashindwa kusoma alama za nyakati? Kama kalewa madaraka vile!!He must be a Mental Case.
Mkuu nje ya Mada kidogo
Huyo mwamba kwenye avatar yuko wapi Kwa sasa😁
Kwakuwa mnafanana mno Kiupumbavu.Kasema kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipara sio bure anaukinga wana wanamimina
Badala ya kuwa na viongozi wenye maono tunakuwa na mizigo Kwa dar es salaam, duh anafaa kupumzushwa, Jiji limekuwa chafu sana, biashara holela zimerudi kisa uongozi holelaIna maana wote wanaolima vijijini wamechoshwa na foleni za Dsm??
Ebu kamuulize yeye kuja kuishi Dsm kakimbia Ulanzi au kakimbia chaDog kwao huko? Wakati mwingine kiongozi pima maneno yako kabla ya kuongea