Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,.
Huyu mtu pumbavu wa kutupwa anajifanya kuongea English ya hovyo huku nafsi na uso na ulimi wake vikimsuta.
Rais S S, Hassan mtoe haraka huyu lopolopo ambae hana adabu.
CCM mtoeni huyu kibwengo mwenye dharau kiasi hicho.