Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Utaondoka nae pumbavu imetosha sasaNyie ndo mlimshangilia Magufuli alivowaita wanyonge
Yaani kukwambia uchangie elfu 50 unaona kakudhalilisha
Mimba ni process na mipango sio ajali
Mnabet, sare za shughuli mnavaa, mnapenda Moshi Xmas ila mkiambiwa kuchangia elfu 50 mnawaka kama moto wa petrol
Hao ndio waTanzania,.Nyie ndo mlimshangilia Magufuli alivowaita wanyonge
Yaani kukwambia uchangie elfu 50 unaona kakudhalilisha
Mimba ni process na mipango sio ajali
Mnabet, sare za shughuli mnavaa, mnapenda Moshi Xmas ila mkiambiwa kuchangia elfu 50 mnawaka kama moto wa petrol
Haondoki mtuUtaondoka nae pumbavu imetosha sasa
Rais S S, Hassan mtoe haraka huyu lopolopo ambae hana adabu.