ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hoja.
Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe?
Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama yalivyo
=================
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari zilizopo Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake za Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano wa kimapenzi.
RC Ayoub ameyasema hayo leo August 15,2024 kwenye semina ya Waongoza Watalii na Beach Boys kuelekea Kizimkazi Festival katika Mkoa wa Kusini ambapo amesema kuna changamoto ambazo zimekuwa zikisababishwa na Watu wasiofuata utaratibu na kwamba matatizo yanayojitokeza kwa Beach Boys yatakomeshwa.