RC wa Kusini Unguja: Beach Boys Watakaorubuni Wake za Watalii Watafukuzwa,Asema Wanavunja Ndoa za Watu na Watalii Kuichukia Tanzania

RC wa Kusini Unguja: Beach Boys Watakaorubuni Wake za Watalii Watafukuzwa,Asema Wanavunja Ndoa za Watu na Watalii Kuichukia Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Hoja.
Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe?

Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama yalivyo

=================

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari zilizopo Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake za Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano wa kimapenzi.

RC Ayoub ameyasema hayo leo August 15,2024 kwenye semina ya Waongoza Watalii na Beach Boys kuelekea Kizimkazi Festival katika Mkoa wa Kusini ambapo amesema kuna changamoto ambazo zimekuwa zikisababishwa na Watu wasiofuata utaratibu na kwamba matatizo yanayojitokeza kwa Beach Boys yatakomeshwa.


 
😂sasa watalii wa kike wanakuja na idea huku kuna mihogo kwanini beach boys wasipige
 
Hivi hafahamu Kuna utalii wa ngono. Watalii wanakuja ili wafanye ngono.
Hakika na ndio wanacho kifata, uliza wazungu. Hivi anaamini kabisa mwanamke mtu mzima aliyetoka ktk nchi zilizo endelea na exposure ya kutosha anarubuniwa na beach boys?? 🤣.

Huyu hawajui wanawake vizuri.
 
Hivi hafahamu Kuna utalii wa ngono. Watalii wanakuja ili wafanye ngono.
Niliwahi fuatilia majadiliano fulani mtandao fulani wa wazungu.
Kuna tabia moja ya wazungu ya ajabu.
Kwamba mzungu anamualika niga aje ampige mashine mkewe, jamaa ndio anapata furaha naye ndio anaanza game kwa mkewe. Hili jambo linashangaza sana.
Walidokeza kwamba, wanawake wengi wa kizungu wa USA hutafuta mwanaume mweusi kisiri na kujumuika nae kimapenzi kisiri.
Haya maneno walijadili wenyewe kernye mitandao yao na wengine kuthibisha kuwa wamewahi jihusisha na aina hio ya ngono.
Kwa hio sio ajabu wanawake ku cheat na beach boy ni kitu wanakipenda.
 
hilo sijui kam litawezekana.mwenetu mmoja mzenji yeye yupo ulaya kwa sasa mana yule dada ilibid amchkue.na jamaa yule alikua ahana mbambaq yeye mpaka vibibi vya miaka 60
 
Back
Top Bottom