Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

Sasa hivi nimekupuuza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee siasa mbaya sana nawewe tumekupoteza kwa heri
 

Buloooooo

 
Wewe pia ni kada wa chadema! Je kuna uabaya Mayala kuwa kada?
 
Hilo dubwana lenu la ccm watu wamelichoka kwa kweli kama wewe unampenda na wasukuma wenzenu ni nyie tu jamani
 
Pasikali wewe
 
Mwanza kuna sehemu kuna shidaaa.. (Nyamagana) ndo maan wameanza kubwabwaja maan jamaa wa upinzan anapita asubuhi tuu
 
Yani umpuuze mtu ambae humlishi! Na ambae ametumia haki yake kumshabikia Magufuli kama wewe ulivyotumia haki yako kumshabikia Lisu.?

Hizi akili au matope?
Hhhhhhh ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa na akili utakua.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu ni mmoja wa ma Rc's bora kabisa kipindi cha awamu ya tano. Ni mbwa asiyebweka. Na mimi kama mkazi wa Mwanza nashauri JPM ampe tena miaka mitano Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…