Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

Labda kama unaongelea kazi na asali ya mkeo
 
NEC mnatuambia nini kuhusu watumishi wa umma waandamizi kukipigia kampeni za wazi wazi chama tawala?
 
Watu wanaenda kusikia kejeri zake, lakini hakuna sera pale
CCM acheni chuki jengeni hoja kumjibu Lissu.Naona mnaumbuka achaneni na matusi.Hoja za TL zinatakiwa zijibiwe tena kwa vitendo.Kama hamkuongeza mishahara ya wafanyakazi miaka 5 ongezeni,mmevunja nyumba za watu bila fidia,lipeni fidia,hakuna ajira mpya miaka 5,toeni ajira.Mmeondoa fao la kujitoa,lirudisheni.Mmenyang'anya hela za rambirambi tetemeko la ardhi bukoba ,rudisheni.Hoja za kuwaita wahisani wenu wa maendeleo,usaid,DFID,DANIDA na wengineo , Mabeberu ni hoja mufilisi,hazina mashiko.Vinginevyo wananchi wanamsikiliza Lissu.
 
Pumbavu
 
Yote uliyo ongea hapo hayana tija na wala sio hoja,
Hayo mashirika unayosema kama yatafanya kazi bila kuingiliwa na watu ambao sio wazuri basi yana tija, ila mabeberu yakipitisha mikono yao humo basi hugeuka na kufanya kazi za beberu,
Hata viongozi wenu ni beberu maana wamekula pesa za michango ya wabunge kisha wanataka kuwakoromea.
 
Wanabodi,

Kwanza sikiliza hii


"na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu,

Paskali
Wanabodi, mambo ya kauli kauli kauli!. Baadhi ya kauli tunazotoa bila sisi wenyewe kujijua, utakuta kauli hizo zina powers za kuumba, zinakuja kuumba hicho kitu kilichosemwa!.

Mfano haya mambo ya kumuita mtu aliye hai kuwa amejitoa sadaka, kwa sababu sadaka ni kitu kinachotolewa kwa Mungu, kitendo cha kusema fulani amejitoa sadaka, ni kumwambia Mungu aichukue sadaka yake. Ukiisha kuwa umetolewa sadaka, wewe sasa unakuwa sio mtu wa dunia hii, wewe unakuwa ni mtu wa Mungu, hivyo usikute....

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…