RC wa Njombe, Antony Mtaka ni mfano wa kuigwa

RC wa Njombe, Antony Mtaka ni mfano wa kuigwa

Status
Not open for further replies.
D

DeletedMember281674

Guest
Wanabodi,

Huyu ndiyo RC BORA kuliko wote kwa sasa hapa Tanzania, huyu Mheshimiwa angalau aliweza kukutana na wananchi wake pale Makambako - Mkoa wa NJOMBE na kuwapa neno la faraja wale wote waliopatwa na matatizo yaliyojitokeza MKOANI kwake na akalia machozi na wananchi wake.

Nawasilisha haya ni kwa mujibu wa maoni yangu Binafsi siyo msimamo wa JF Wala Chama chochote cha siasa Wala dini yeyote loop
 
1.kuna miundombinu imeharibiwa na waliokuwa wakiandamana.

2.kuna waandamanaji wameuwawa au kuumizwa.

3.kuna wasiokuwa waandamanaji wameuwawa au kuumizwa.

Serikali imeshika hilo la # 1, na kufumbia macho #2 na #3. Ni ndipo propaganda za kina Chalamila, Mtaka, na wakuu wengine wa mikoa zilipo.
 
UWONGOOOOOO KABLA YA UCHAGUZI RC WOTE WALISEMEA AMANI TU WHY HUYO RC HAKUKEMEA UTEKAJI????ILI TWENDE SAWA
 
Ulisoma Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Hali ya kwanza kutambuliwa na ambayo Mataifa yote wanachama wa UN wamesaini ikiwemo Tanzania ni Haki ya Kuishi na siyo ya kutoa uhai
 
UWONGOOOOOO KABLA YA UCHAGUZI RC WOTE WALISEMEA AMANI TU WHY HUYO RC HAKUKEMEA UTEKAJI????ILI TWENDE SAWA
Tugange yajayo kwa sasa tupo kwenye majonzi, wale waliopoteza Ndugu zao wanahitaji faraja kutoka kwa viongozi wa Serikali
 
..matatizo yote yamesababishwa na Ssh kutokutekeleza 4R.

..baada ya uzembe huo Ssh na watu wake wakaanza kuvichochea vyombo vya dola dhidi ya waliokuwa wakililia mabadiliko na demokrasia.
 
Mambo asiyoyapenda Israel wa kike.

Atapigwa chini sasa hivi.
 
Ukiweza kua kama mtaka hata maandamano yakiyokea mkoani pako unaweza ukayatuliza kwa kauli tu.

Kwasababu kama yeye mkuu wa mkoa anawasikiliza wananchi wakimuitaji, Kuna siku nao watamsikiliza atakapo waitaji.

Mwisho nimpongeze sana kwa kukataa kugombea ubunge 2025
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom