RC wa Njombe, Antony Mtaka ni mfano wa kuigwa

RC wa Njombe, Antony Mtaka ni mfano wa kuigwa

Status
Not open for further replies.
Hana lolote ni walewale
msidanganyike na maneno ya kutoa nyoka pangoni

Hawa wote ni adui wao Tanganyika
 
Huyu jamaa ndio Kiongozi haswa. I wish wengine wote waige hapa, hata huyo Mama aige mfano wa RC Mtaka.. Hii ndio approach inayofaa kwa sasa, sio tena ubabe

..Mtaka ni mjanjamjanja.

..anaongelea mali zilizoharibika wakati wa maandamano.

..Mtaka haongelei watu waliouwawa na vyombo vya dola wakati wa maandamano.

..pia haongelei watu waliotekwa, na kupotezwa, kabla ya uchaguzi na maandamano.

..Mtaka angekuwa mkweli tungemuona akilia kabla ya uchaguzi mkuu kwasababu vijana wengi walikuwa wamepotezwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom