D
...Lkn kwa akili zake hizi sidhani kama ataendana na mama Dullah
Lkn kwa akili zake hizi sidhani kama ataendana na mama Dullah
Angalau anajua kuishi na watu kwa akili.Hayo ni maigizo tu ya kuwakamata watu wenye akili ndogo, yeye amehusika kwenye wizi wa kura Njombe.
Tumuombee kwa MUNGU Kila lililo na kheri mbele yake....Lkn kwa akili zake hizi sidhani kama ataendana na mama Dullah
Ulisoma Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Hali ya kwanza kutambuliwa na ambayo Mataifa yote wanachama wa UN wamesaini ikiwemo Tanzania ni Haki ya Kuishi na siyo ya kutoa uhai1.kuna miundombinu imeharibiwa na waliokuwa wakiandamana.
2.kuna waandamanaji wameuwawa au kuumizwa.
3.kuna wasiokuwa waandamanaji wameuwawa au kuumizwa.
Serikali imeshika hilo la # 1, na kufumbia macho #2 na #3. Ni ndipo propaganda za kina Chalamila, Mtaka, na wakuu wengine wa mikoa zilipo.
Tugange yajayo kwa sasa tupo kwenye majonzi, wale waliopoteza Ndugu zao wanahitaji faraja kutoka kwa viongozi wa SerikaliUWONGOOOOOO KABLA YA UCHAGUZI RC WOTE WALISEMEA AMANI TU WHY HUYO RC HAKUKEMEA UTEKAJI????ILI TWENDE SAWA
Ni mchezo wa CCM wa Bad Cop Good CopAngalau anajua kuishi na watu kwa akili.
Njombe hakuna aliyeuawa?Naunga mkono hoja, angekuwa ni RC -DSM, kilichotokea asingeruhusu wananchi wake wauliwe kama kuku!
P