Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,195 Nov 8, 2025 #21 Hana lolote ni walewale msidanganyike na maneno ya kutoa nyoka pangoni Hawa wote ni adui wao Tanganyika
Hana lolote ni walewale msidanganyike na maneno ya kutoa nyoka pangoni Hawa wote ni adui wao Tanganyika
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 8, 2025 #22 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Nov 8, 2025 #23 jimama26 said: Huyu jamaa ndio Kiongozi haswa. I wish wengine wote waige hapa, hata huyo Mama aige mfano wa RC Mtaka.. Hii ndio approach inayofaa kwa sasa, sio tena ubabe Click to expand... ..Mtaka ni mjanjamjanja. ..anaongelea mali zilizoharibika wakati wa maandamano. ..Mtaka haongelei watu waliouwawa na vyombo vya dola wakati wa maandamano. ..pia haongelei watu waliotekwa, na kupotezwa, kabla ya uchaguzi na maandamano. ..Mtaka angekuwa mkweli tungemuona akilia kabla ya uchaguzi mkuu kwasababu vijana wengi walikuwa wamepotezwa.
jimama26 said: Huyu jamaa ndio Kiongozi haswa. I wish wengine wote waige hapa, hata huyo Mama aige mfano wa RC Mtaka.. Hii ndio approach inayofaa kwa sasa, sio tena ubabe Click to expand... ..Mtaka ni mjanjamjanja. ..anaongelea mali zilizoharibika wakati wa maandamano. ..Mtaka haongelei watu waliouwawa na vyombo vya dola wakati wa maandamano. ..pia haongelei watu waliotekwa, na kupotezwa, kabla ya uchaguzi na maandamano. ..Mtaka angekuwa mkweli tungemuona akilia kabla ya uchaguzi mkuu kwasababu vijana wengi walikuwa wamepotezwa.