TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Tundu Lissu asingeenda Kituoni Kwao ( Police Dodoma ) Wiki kadhaa zilizopita Kudai Gari lake lile lile alilopatwa nalo Mkasa wa kutaka Kuuwawa mbele ya CCTV Camera za Kulinda Makazi ya aliyekuwa Naibu Spika ( sasa Spika ) sidhani kama Taarifa ya Kifo hiki tungesikia.

Mtakaonielewa kwa Undani zaidi mbarikiwe mno na Mwenyezi Mungu ila kwa sasa GENTAMYCINE naomba niishie hapa tu tafadhali huku nikishauri kuwa mkikubaliana Jambo kwa pamoja kamwe usije baadae tena Ukawageuka kwani hawatokuwa na jinsi bali Kutenda kwa Kadri ya Kiapo chako kama Kamanda.

R.I.P RCO wa Makao Makuu Dodoma.
 
Mungu ni fundi wasiojulikana kumbe nao hufa
 
Mimi nafikiri unatuletea taarifa rasmi ya sababu ya kifo. Kumbe unaongea utopolo wako wa kijinga huku ukijigamba na kuonyesha kuwa ww hautakufa.
 
Mungu ampumzishe panapostahili
 
Mbona una makarisiko. Kwani kakataa kuwa hatakufa?
Yeye pia atakufa ndiyo.

Umekereka kwa sababu kasema ukweli ulivyo?
Tunasubiri kifo chake nae kije kutangazwa hapa
 
Chadema mpango wa Mungu.
 
Karma = cause conditions and effects
 
Jamani mtu anapofariki tuwe tunamuombea heri, na si kuanza kumpa hukumu as if tunamchongea kwa muumba,
RIP KAMANDA.
 
...Hakuna chuki hapo-hawa jamaa ni waonevu sana. Acha akajibu uovu wake mbele ya aliyemuumba.
Umejuaje anaenda kujibu huko........keshamaliza safari yake ya huko mbeleni kama kubet tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…