Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu Lissu asingeenda Kituoni Kwao ( Police Dodoma ) Wiki kadhaa zilizopita Kudai Gari lake lile lile alilopatwa nalo Mkasa wa kutaka Kuuwawa mbele ya CCTV Camera za Kulinda Makazi ya aliyekuwa Naibu Spika ( sasa Spika ) sidhani kama Taarifa ya Kifo hiki tungesikia.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Kwaiyo wewe hutauonja huo umautiNdio kashaenda huyo over and it's over kila kenge ataonja umauti akiwa kenge
Mungu ni fundi wasiojulikana kumbe nao hufa
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Mimi nafikiri unatuletea taarifa rasmi ya sababu ya kifo. Kumbe unaongea utopolo wako wa kijinga huku ukijigamba na kuonyesha kuwa ww hautakufa.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Mungu ampumzishe panapostahili

Tunasubiri kifo chake nae kije kutangazwa hapaMbona una makarisiko. Kwani kakataa kuwa hatakufa?
Yeye pia atakufa ndiyo.
Umekereka kwa sababu kasema ukweli ulivyo?
Chadema mpango wa Mungu.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Kuzimu tena?Hapana.Aombewe kwenda mbinguni.Hili pumbavu mtu kajifia zake huko badala kumuombea kheri ya kuzimu linaleta mambo ya Chadema tena.
Inahusiana nini na kifo chake we mtu wa ajabu kabisa
Kwa taarifa tu hakuna Kilaza kama wewe !Swala la Lema kwenye uzi huu linatoka wapi?Chadema vichwani ni upopo sana Leo nimemsikiliza Lema DW Swahili dah hovyo kabisa
Karma = cause conditions and effects
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
kumbe unamfuatiliaChadema vichwani ni upopo sana Leo nimemsikiliza Lema DW Swahili dah hovyo kabisa
Umejuaje anaenda kujibu huko........keshamaliza safari yake ya huko mbeleni kama kubet tu...Hakuna chuki hapo-hawa jamaa ni waonevu sana. Acha akajibu uovu wake mbele ya aliyemuumba.
LAZIMA NDIO...Lazima muingize chadema