TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingizini
 
KILA ROHO ITAONJA MAUTI
 
Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingizini
Leo mtasema yote ila nililolisema lina Ukweli mahala fulani kutokana na Historia yake na Tukio zima la Tundu Lissu hasa la kudai Gari lake alilopatwa nalo Ajali.
 
Mpigaji
 
Wewe numb kweli, Huyu bwana kawa RCO karibuni hapa wala masala ya CHADEMA hajawahi kuhusika nayo
 
Unapoandika na kutia chokochoka as if na ww hutokufa!!??
Huyu askari alikuwa anatekeleza wajibu wake.
 
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Huu u-CHADEMA wenu ndiyo ule utakawaofanya Mungu asithubutu kabisa kuwapa nchi hii hata siku moja; kwa sababu mnamkufuru sana Mungu

Kumbukeni kuwa anayetoa Nchi ni Mungu, na si wanachama wa CHADEMA au CCM
 
CHANZO CHA MAUTI YAKE WAMESEMA NI NINI?
 
Mrs Lissu
Hiyo dislike inanipa faraja kwamba angalau wapo watu wenye akili huko kwa sababu machizi tu ndiyo wale ambao hawawezi kutofautisha like na dislike kwa sababu hawajui kama hata zina exist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…