pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mola amuweke kule kunakomshahili sawa na matendo yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
marehemu husemwa sawa na matendo yake acheni ubwege wenu!Marehemu hasemwi vibaya. Apumzike kwa amani, Amina
Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingiziniTundu Lissu asingeenda Kituoni Kwao ( Police Dodoma ) Wiki kadhaa zilizopita Kudai Gari lake lile lile alilopatwa nalo Mkasa wa kutaka Kuuwawa mbele ya CCTV Camera za Kulinda Makazi ya aliyekuwa Naibu Spika ( sasa Spikusia ) sidhani kama Taarifa ya Kifo hiki tungesikia.
Mtakaonielewa kwa Undani zaidi mbarikiwe mno na Mwenyezi Mungu ila kwa sasa GENTAMYCINE naomba niishie hapa tu tafadhali huku nikishauri kuwa mkikubaliana Jambo kwa pamoja kamwe usije baadae tena Ukawageuka kwani hawatokuwa na jinsi bali Kutenda kwa Kadri ya Kiapo chako kama Kamanda.
R.I.P RCO wa Makao Makuu Dodoma.
KILA ROHO ITAONJA MAUTI
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Adhabu huja kulingana na namna ulivyokuwa ukiishi.Wewe hutaenda huko? Ni nani aliwaambia kifo ni adhabu?
Leo mtasema yote ila nililolisema lina Ukweli mahala fulani kutokana na Historia yake na Tukio zima la Tundu Lissu hasa la kudai Gari lake alilopatwa nalo Ajali.Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingizini
Mpigaji
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Unapasuliwa kichwa Benjamini Mkapa? Angeenda Appolo India haya mnayoongea leo yasingekuqepo.Leo mtasema yote ila nililolisema lina Ukweli mahala fulani kutokana na Historia yake na Tukio zima la Tundu Lissu hasa la kudai Gari lake alilopatwa nalo Ajali.
Wewe numb kweli, Huyu bwana kawa RCO karibuni hapa wala masala ya CHADEMA hajawahi kuhusika nayo
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Asante kwa taarifa! Genta alisha aanza kutupiga fix!!Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingizini
Unapoandika na kutia chokochoka as if na ww hutokufa!!??
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imeeleza kwamba Ofisa huyo amefariki Dunia.
Kwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Miongoni mwa wahanga wa karibu ni Twaha Mwaipaya, ambaye hata ndugu zake walikatazwa kumpelekea Chakula.
Apumzike kwa Amani, Amina
Huu u-CHADEMA wenu ndiyo ule utakawaofanya Mungu asithubutu kabisa kuwapa nchi hii hata siku moja; kwa sababu mnamkufuru sana MunguKwa wenye kumbukumbu nzuri huyu ndio yule ofisa wa polisi aliyehakikisha kwamba viongozi wa Chadema wanaokamatwa Dodoma hawapewi dhamana.
Muuaji anapohukumiwa kifo, kwani aliyeuawa ndio anarudishiwa uhai!? Au waliobaki nao hawatakufa!?Hata wewe pia utakufa
Ukimuombea wewe inatoshaJamani mtu anapofariki tuwe tunamuombea heri, na si kuanza kumpa hukumu as if tunamchongea kwa muumba,
RIP KAMANDA.
CHANZO CHA MAUTI YAKE WAMESEMA NI NINI?