TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

TANZIA RCO wa Polisi Dodoma afariki Dunia

Hili pumbavu mtu kajifia zake huko badala kumuombea kheri ya kuzimu linaleta mambo ya Chadema tena.
Inahusiana nini na kifo chake we mtu wa ajabu kabisa

Wakati anawaonea kina Mwaipaya na Nusrat hanje, mlichekelea, leo mnakumbushwa mnajifanya kuja juu. Ukitenda maovu haindoi uhalali wa kutokusemwa ukifa.
 
Huu u-CHADEMA wenu ndiyo ule utakawaofanya Mungu asithubutu kabisa kuwapa nchi hii hata siku moja; kwa sababu mnamkufuru sana Mungu

Kumbukeni kuwa anayetoa Nchi ni Mungu, na si wanachama wa CHADEMA au CCM

Acha upotoshaji, usimuingize Mungu kwenye ujinga wa CCM.
 
Mtu aliyekufa haombewi kheri. Matendo yake ndiyo yatakuhukumu. Ukiwa mzima, ushindwe kutenda mema ila ukifa ndiyo uombewe kheri kwa misingi ipi?
Nyie wapumbavu bado mnag
ombana na wafu kisa tu mna uwezo kutype upuuzi wenu..
Hao washafariki we mbwiga take next and GO ON.
 
Alikua mgonjwa muda mrefu alifanyiwa upasuaji wa kichwa Hospital yq benjamin mkapa lakin bado hakuwa vizuri alivyoletwa muhimbili kufanyiwa upsuaji mwingine hakuweza kuamka tena usingizini
Yaani licheo lote hilo plus marushwa ya kila kukicha hata hela ya kumpeleka hapo India ilikosa????
 
Wakati anawaonea kina Mwaipaya na Nusrat hanje, mlichekelea, leo mnakumbushwa mnajifanya kuja juu. Ukitenda maovu haindoi uhalali wa kutokusemwa ukifa.
Aliwaonea hao wapi?
Ndio tatizo lenu Watz wengi .
JPM ilikua ukileta ujinga utachezea sheria mpk ukome kuleta ujinga kazini.
Ndio mnaita uonevu.?
 
Huu u-CHADEMA wenu ndiyo ule utakawaofanya Mungu asithubutu kabisa kuwapa nchi hii hata siku moja; kwa sababu mnamkufuru sana Mungu

Kumbukeni kuwa anayetoa Nchi ni Mungu, na si wanachama wa CHADEMA au CCM
kuna polisi wangapi wanakufa nchi hii , unadhani kwanini tumeandika habari za huyu tu ?
 
Back
Top Bottom