Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mwenyewe!!!
Mwenyewe nani?
Mwili ni final destination au check poit baada ya kazi na michakato yote ambayo husaidiwa na usiri wa mtu hata kama anatabia mbovu ataonekana wa ukweli, hata kama hana pesa kwenye account you wont kno etc na heshima utampa kama kawa.Ndo hivyo...nashangaa watu wanataka kuthaminisha email...bank...social network accounts na simu zaidi ya wanavyothaminisha miili yao!!
Password ya email mfano ni ya kazi gani kwake, muache mtu awe free, ukimbana sana ndio mwanzo wa kutafuta nyumba ndogondogo!
haisaidii hata kidogo,kunguru hafugiki tu,ila pia inaongeza uaminifu na kuaminiana si unajua tena uongo sometimes unajenga mapenzi
Hahaha....bado kuvalishana ch.upi zenye makufuli tu na funguo anakaa nayo mpenzi wako....lol
Mwili ni final destination au check poit baada ya kazi na michakato yote ambayo husaidiwa na usiri wa mtu hata kama anatabia mbovu ataonekana wa ukweli, hata kama hana pesa kwenye account you wont kno etc na heshima utampa kama kawa.
The problem watu mkijua uwezo wa kifedha wa wapenzi zenu dharau zinaanza.,
Sasa kama mwili ndio final destination iweje thamani yake iwe chini kuliko hivyo virokoro vingine?!Ni sawa na kumkaribisha mtu kwako akae...ale...alale ila umnyime kwenda chooni au kukaa barazani!!
Alafu sio kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa kwahiyo rekebisha kauli yako...kama wapenzi wako hua wanakuonyesha dharau wakujua akiba yako ina digits tano tu usidhani na wenzako wote wanafanyiwa hivyo!!!
<br />Sasa kama mwili ndio final destination iweje thamani yake iwe chini kuliko hivyo virokoro vingine?!Ni sawa na kumkaribisha mtu kwako akae...ale...alale ila umnyime kwenda chooni au kukaa barazani!!<br />
<br />
Alafu sio kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa kwahiyo rekebisha kauli yako...kama wapenzi wako hua wanakuonyesha dharau wakujua akiba yako ina digits tano tu usidhani na wenzako wote wanafanyiwa hivyo!!!
Kiukweli Mshiko unamata ndugu yangu na hiyo imesababisha madada wengi kuolewa mapema na kuacha wachumba zao ambao ni rika moja na kutoka na vijana wenye maisha teyari. Yaani kuolewa na mtu aliye kazini. Usiniambie ww uko tayari kuolewa na kijana chakaramu yani hana uhakika wa kula wala kazi. So mshiko unahusika na mapenzi yanafuata.
Hahahahahahaahaha ....... Kula ni sawa lakini kubadili mboga kunahusika, kuvaa vizuri na kuishi pazuri kila mutu anapenda unless awe unsound minded.
Sio hvyo ndugu wanawake wana nature ya kutopenda kutegemewa na midume yao sasa kuepuka hayo matatizo huwa wanajiweka pazuri ili isiwe tabu.Na mpaka mwanamke anapokutana na mwanaume ndo anaanza kubadili mboga..kuishi na kulala vizuri?!