Re:kumpa password..mupenzi

Re:kumpa password..mupenzi

Password ya email mfano ni ya kazi gani kwake, muache mtu awe free, ukimbana sana ndio mwanzo wa kutafuta nyumba ndogondogo!
 
Ndo hivyo...nashangaa watu wanataka kuthaminisha email...bank...social network accounts na simu zaidi ya wanavyothaminisha miili yao!!
Mwili ni final destination au check poit baada ya kazi na michakato yote ambayo husaidiwa na usiri wa mtu hata kama anatabia mbovu ataonekana wa ukweli, hata kama hana pesa kwenye account you wont kno etc na heshima utampa kama kawa.

The problem watu mkijua uwezo wa kifedha wa wapenzi zenu dharau zinaanza.,
 
Umepotea sana ndugu yangu... Naimani utokako ni kwema!...
haisaidii hata kidogo,kunguru hafugiki tu,ila pia inaongeza uaminifu na kuaminiana si unajua tena uongo sometimes unajenga mapenzi
 
Mwili ni final destination au check poit baada ya kazi na michakato yote ambayo husaidiwa na usiri wa mtu hata kama anatabia mbovu ataonekana wa ukweli, hata kama hana pesa kwenye account you wont kno etc na heshima utampa kama kawa.

The problem watu mkijua uwezo wa kifedha wa wapenzi zenu dharau zinaanza.,

Sasa kama mwili ndio final destination iweje thamani yake iwe chini kuliko hivyo virokoro vingine?!Ni sawa na kumkaribisha mtu kwako akae...ale...alale ila umnyime kwenda chooni au kukaa barazani!!

Alafu sio kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa kwahiyo rekebisha kauli yako...kama wapenzi wako hua wanakuonyesha dharau wakujua akiba yako ina digits tano tu usidhani na wenzako wote wanafanyiwa hivyo!!!
 
Kiukweli Mshiko unamata ndugu yangu na hiyo imesababisha madada wengi kuolewa mapema na kuacha wachumba zao ambao ni rika moja na kutoka na vijana wenye maisha teyari. Yaani kuolewa na mtu aliye kazini. Usiniambie ww uko tayari kuolewa na kijana chakaramu yani hana uhakika wa kula wala kazi. So mshiko unahusika na mapenzi yanafuata.
 
Kwahyo nikitaka akaunt nr nataka kujua unawanawake wangap au wanaume wangap?helaaa.pacword za email n kuzuga tu
 
Sasa kama mwili ndio final destination iweje thamani yake iwe chini kuliko hivyo virokoro vingine?!Ni sawa na kumkaribisha mtu kwako akae...ale...alale ila umnyime kwenda chooni au kukaa barazani!!<br />
<br />
Alafu sio kila mtu anaingia kwenye mahusiano kwasababu ya pesa kwahiyo rekebisha kauli yako...kama wapenzi wako hua wanakuonyesha dharau wakujua akiba yako ina digits tano tu usidhani na wenzako wote wanafanyiwa hivyo!!!
<br />
<br />
duuu.mbona umeitoa kihasira mkubwa,
 
Kiukweli Mshiko unamata ndugu yangu na hiyo imesababisha madada wengi kuolewa mapema na kuacha wachumba zao ambao ni rika moja na kutoka na vijana wenye maisha teyari. Yaani kuolewa na mtu aliye kazini. Usiniambie ww uko tayari kuolewa na kijana chakaramu yani hana uhakika wa kula wala kazi. So mshiko unahusika na mapenzi yanafuata.

Kwani kabla yake ntakua nilikua sili mpaka nifuate kula kwake?!
 
Hahahahahahaahaha ....... Kula ni sawa lakini kubadili mboga kunahusika, kuvaa vizuri na kuishi pazuri kila mutu anapenda unless awe unsound minded.
 
Na mpaka mwanamke anapokutana na mwanaume ndo anaanza kubadili mboga..kuishi na kulala vizuri?!
 
wote wezi ukishaona watu wanataka kumilikishana emails,credit cards nk hizo ni personal issues kwann mshee??? A hawezi kuwa B na B hawezi kuwa A. ktk nyumba mkishaanza mambo hayo ndoa haitafika mbali..
 
Na mpaka mwanamke anapokutana na mwanaume ndo anaanza kubadili mboga..kuishi na kulala vizuri?!
Sio hvyo ndugu wanawake wana nature ya kutopenda kutegemewa na midume yao sasa kuepuka hayo matatizo huwa wanajiweka pazuri ili isiwe tabu.
 
Back
Top Bottom