Re: THANKS TO JF

Re: THANKS TO JF

Wewe ndo kiswahili kigumu kwako, kugombania ni kitemdo cha neno "ugomvi", walau ungesema kugombea, au kushindania. sifikiri kuwa uko sahihi usemapo kugombania, najua umelitafsiri moja kwa moja kutoka kiinglishini.

Haya bhana bro!
 
Acha zako wewe karunguyeye, kama ndo njia yako ya kutafuta mademu umeambulia patupu. Sepa zako firauni weweee,
afazali umeanza kujiexpose kumbe mda wote huo hukuweka wazi kama unatafuta madem humu,kwaio ulifikili ukisema umepata kazi serikalini ndo utawang'oa kirahisi??nenda facebook wewe
Bora untukane matusi yote ila usiombe kuambiwa wewe ccm maana ni tusi kubwa kuliko yote
CCM mkubwa wewe
 
HAhahaaaa, maona unatafuta:boxing:, mie nguvu hizo sina mkuu. Na kwa taarifa yako umebeep wrong namba.
 
Hongera sana ,jitahidi nawe uwe unachangia Jf kifedha kwa kazi ngumu wanayoifanya waanzilishi/watendaji wa JF.
Mkono mtupu haulambwi.

Ni kweli mkuu, hili ni jukumu letu sote kuichangia JF, si kwa sababu tu imetusaidia kupata kazi, la hasha bali kwa sababu inatuweka pamoja na kwa pamoja tunayajadili yaliyo ya manufaa kwa taifa na vizazi vyetu. Nitaichangia JF, abundantly
 
Shukuru vyeti vyako na Si vinginevyo.

Vyeti pekee havitoshi mkuu. Kuna mstari katika Biblia wenye maneno

Mhubiri 10:11
Nikarudi na kuona chini ya jua ya kwamba,
si wenye mbio washindao katika michezo,
wala si walio hodari washindao vitani,
wala si wenye hekima wapatao chakula,
wala si wa ufahamu wapatao mali,
wala wenye ustadi wapatao upendeleo:
bali wakati na bahati huwapata wote.

Hivyo ninaamini kuwa kila mmoja wetu ana wakati wake na bahati yake katika kufanikiwa.
 
HAhahaaaa, maona unatafuta:boxing:, mie nguvu hizo sina mkuu. Na kwa taarifa yako umebeep wrong namba.

Gusa sasa uone...:boxing::boxing::boxing:
chezea man kkk wewe:hatari:
 
Asante my dear paesulta, ni kweli sikudhani kuwa mtoto wa mkulima mie ningeweza kupita katika tundu la sindano, kwani nilikuwa najaribu bahati yangu. Cha muhimu ni kuzingatia maelekezo yaliyotolewa katika tangazo la kazi, uandishi mzuri wa barua ya maombi ambayo iko wazi, CV iliyopangiliwa vizuri, na viambatanisho vyote vinavyohitajika.

Pili kwenye intavyuu, kujiamini kunahitajika, haina haja ya kujisomea saaaana, ila kujiamini na kutulia. Ukweli ni kuwa PANEL inatisha especially kama mtu hajazoea maintavyuu. Ingawa ukitulia na kujibu kwa utulivu una advantage sana.

Tatu, usiache kujibu swali hata moja, wala usiseme sijui, jaribu kujibu tuu kulingana na uelewa wako, usizunguke swali nenda direct kwenye pointi.

Kwa mara nyingine Naipongeza Tume ya Ajira, kwa usawa huu.

Shukrani kwa kutupa experience yako.
Najua kweli Tanzania yetu mambo mengi ni kujuana kwanza,lakini tujitahidi kwanza wenyewe at least tufuate vigezo kabla ya kulaumu.
Siku moja Lawrence Masha alikuwa anatupiga somo.Akasema kuwa katika Law firm yao yeye ndio Human Resources and Admin. Manager,kwa hiyo kila application lazima ipitie kwake.Sasa kwa mwaka huu walikuwa wana nafasi moja tu ya kuajiri na wakaitangaza.Walipata barua za maombi kama 1800 hivi,sasa katika hali ya kawaida,hawawezi kuzipitia barua zote hizo,kwa hiyo wanachofanya ni kutengeneza mechanism ya kuchuja watu.Kwa hiyo bila hata kusoma barua zenyewe,kitu cha kwanza kabisa wanaangalia spelling mistakes,kama wakipata spelling mistake barua inapigwa chini.Vilevile wanaangalia lugha ilivyotumika,kwa wenzangu na mimi tunaoandikaga "am a Tanzanian boy/girl of 2.. years",hiyo barua moja kwa moja inapigwa chini.Kwa kifupi wanaangalia mambo mengi sana ambayo ni madogomadogo sana, hata unadhifu wa karatasi,mpangilio wa barua,n.k, lakini yenye umuhimu wake kabla hawafikia kushort-list.Unaweza kuwa na vigezo vyote kwa maana ya academic na experience lakini kutokana na vijimbambo kama hivi unakosa fursa hata ya kufikiriwa.
Kwa hivyo basi tuangalie namna tunavyotuma maombi ili tusiwape haki watu wanaotakakutumia visingizio vidogodogo kutupige chini.At least ukipigwa chini ujue kweli ni kwa sababu kuna watu wana vigezo zaidi yako.
 
Last edited by a moderator:
hongera aaaaaaaaa endlea na huo moyo wa kushukuru mungu atakubarik bt kumbuka kutoa shukrani kwa mungu ndowengine wafuete.JF imewatoa wa2 nami naamin ciku ipo ntapata kazi
 
nafasi 1 maombi 1800, then bado unafikiri tatizo ni kutoandika barua vizuri na hayo mengine unayoyasema?
 
Of course kuna tatizo kwa kuwa na application nyingi kwa nafasi chache zilizopo,lkn huu ni mfano tu wa ushindani uliopo ktk kutafuta kazi.We hudhani kuwa kama usipokuwa na makosa kama haya basi chance inaongezeka kidogo?
 
Hongera sana bombu. Endelea kumtegemea Mungu, bila kusahau kumshukuru. Ubarikiwe zaidi na zaidi.
 
Last edited by a moderator:
usintafutie BAN, halafu mwenzio nimeokoka. Na by the way, kama hujapata kazi, waweza kuniona nkuunganishe na watu wa Sekretarieti ili siku ukiomba wakushortlisti. Karibu pale Maktaba House, Dar, najua uko Mtwara

Mara hii una connection na watu wa secretariati mpaka uunganishie watu? Unanipa wasiwasi.

Hata hivyo hongera kwa kazi. Tumia ubongo wako na usitumie mwili wako. Kumbuka kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni - mtangulize Mungu. Wazo la bureeeeee: Shirikiana na wafanyakazi wenzako lakini usimuamini mtu hususan huko kwa serikali.
 
Shukrani kwa kutupa experience yako.
Najua kweli Tanzania yetu mambo mengi ni kujuana kwanza,lakini tujitahidi kwanza wenyewe at least tufuate vigezo kabla ya kulaumu.
Siku moja Lawrence Masha alikuwa anatupiga somo.Akasema kuwa katika Law firm yao yeye ndio Human Resources and Admin. Manager,kwa hiyo kila application lazima ipitie kwake.Sasa kwa mwaka huu walikuwa wana nafasi moja tu ya kuajiri na wakaitangaza.Walipata barua za maombi kama 1800 hivi,sasa katika hali ya kawaida,hawawezi kuzipitia barua zote hizo,kwa hiyo wanachofanya ni kutengeneza mechanism ya kuchuja watu.Kwa hiyo bila hata kusoma barua zenyewe,kitu cha kwanza kabisa wanaangalia spelling mistakes,kama wakipata spelling mistake barua inapigwa chini.Vilevile wanaangalia lugha ilivyotumika,kwa wenzangu na mimi tunaoandikaga "am a Tanzanian boy/girl of 2.. years",hiyo barua moja kwa moja inapigwa chini.Kwa kifupi wanaangalia mambo mengi sana ambayo ni madogomadogo sana, hata unadhifu wa karatasi,mpangilio wa barua,n.k, lakini yenye umuhimu wake kabla hawafikia kushort-list.Unaweza kuwa na vigezo vyote kwa maana ya academic na experience lakini kutokana na vijimbambo kama hivi unakosa fursa hata ya kufikiriwa.
Kwa hivyo basi tuangalie namna tunavyotuma maombi ili tusiwape haki watu wanaotakakutumia visingizio vidogodogo kutupige chini.At least ukipigwa chini ujue kweli ni kwa sababu kuna watu wana vigezo zaidi yako.

Umesema ya maana my dear. Watanzania wengi tuna papara, na tumeshajihalalishia kushindwa hata kabla hatujatenda. Anyways taratibu tutarudi kwenye mstari
 
Mara hii una connection na watu wa secretariati mpaka uunganishie watu? Unanipa wasiwasi.

Hata hivyo hongera kwa kazi. Tumia ubongo wako na usitumie mwili wako. Kumbuka kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni - mtangulize Mungu. Wazo la bureeeeee: Shirikiana na wafanyakazi wenzako lakini usimuamini mtu hususan huko kwa serikali.

Ushauri wako ni mzuri, ila hapo pa kutumia mwili, sidhani kama unaweza kutumia ubongo pekee bila kushirikisha mwili. Anyways, Asante kwa pongezi.

Kuhusu kuunganisha watu, nimeamua kumridhisha huyo ***** anayenilazimisha kuwa mie ni mtumishi wa utumishi.
 
Nimekupata. Kweli kabisa huwezi kutumia ubongo pekee bila kushirikisha mwili, ila sikumaanisha hivyo: Umewahi kusikia au kuona watu wanatumia mwili zaidi ya ubongo vyuoni na makazini ili kujirahisishia/kuweka njia nyeupe? sasa hayo yapo na kuna mabosi wanaendekeza hayo. Hope umenipata vilivyo nini namaanisha.
 
Back
Top Bottom