Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Kichwa cha habari kataa ndoa yapoteza mwanachama wa kudumu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa cha habari kataa ndoa yapoteza mwanachama wa kudumu😂
woii, nasikia bado wapo 😄😂🤣MSikivu? 🤣 wamejaa wabishi tu mtaani
Kijana, hicho cheo kiheshimiwe. Mimi bado ni katibu mwenezi 😂😂Kichwa cha habari kataa ndoa yapoteza mwanachama wa kudumu😂
Sema basi, maana bragging has never been a part of me.Vitoto vya afu 2 vina speed
Sasa mpenzi wa nini wewe jobless
Miaka 25 unatoa wapi nyegezi stand na huna kazi 😅hi naitwa intelli, waweza niita raisi wa ma jobless pro max.
"Looking for a genuine connection to a certain genuine Lady to build a meaningful relationship with"
Kiumri nina miaka 25, Mimi ni, mpole, mcheshi, rafiki, msikivu, nisiye penda makelele.
Sinywi pombe, sivuti sigara, bange au shisha.
Nina penda, kula, kutazama vipindi vya televisheni, kusoma vitabu, majarida.
Kimaumbile mimi ni mrefu, mweusi na mwili wa kati.
Reaching out to a lady (narudia a lady), mwenye umri kuanzia 22-30 who is a natural smiler, mwenye hulka ya kike, msikivu, mwenye heshima.
View attachment 3207657
kwetu wame oa wakiwa 18, 20, 22 hapo,: still rembering mjomba ali chapwa bakora 😂😂.Miaka 25 unatoa wapi nyegezi stand na huna kazi 😅
Kuhusu kazi, woiii nili sahau mimi ni raisi wa ma jobless pro max 😂🤣Miaka 25 unatoa wapi nyegezi stand na huna kazi 😅
Mzee baba huogopi kupoteza resourcesKuhusu kazi, woiii nili sahau mimi ni raisi wa ma jobless pro max 😂🤣
Resources zipi??Mzee baba huogopi kupoteza resources
Nani kadukua account yakoo.. wewe huyooo 🥸🥸🥸hi naitwa intelli, waweza niita raisi wa ma jobless pro max.
"Looking for a genuine connection to a certain genuine Lady to build a meaningful relationship with"
Kiumri nina miaka 25, Mimi ni, mpole, mcheshi, rafiki, msikivu, nisiye penda makelele.
Sinywi pombe, sivuti sigara, bange au shisha.
Nina penda, kula, kutazama vipindi vya televisheni, kusoma vitabu, majarida.
Kimaumbile mimi ni mrefu, mweusi na mwili wa kati.
Reaching out to a lady (narudia a lady), mwenye umri kuanzia 22-30 who is a natural smiler, mwenye hulka ya kike, msikivu, mwenye heshima.
View attachment 3207657
Mbona hueleweki?
We si uliniuliza shemeji kwa nani?binti kiziwi Sasa shemeji si umtumie mchumba aone😊
Bado mimi nini mama mkwe?
Na utapata kama huyo
Nmebaki kufanya nini we boflo?Ume baki wewe kenge maji Half american 😄🤣
Bado wewe kuchanganyikiwa na dipresheni zako🤣Bado mimi nini mama mkwe?
😂
Mimi nime kuuliza hiyo introduction kwa dating Ina faa??.Mbona hueleweki?
Mbwembwe zote zile humu kumbe ulikuwa single? 🤔🤔🤔
Hebu tuwekee picha yako, kata kuanzia kidevuni kwenda juu ila kuanzia shingoni kushuka huku chini tuachie ili tukujadili kidogo.
Piga picha ukiwa umesimama full.
Na mambo ya lawama baadae hatutaki.
Useme kabisa kama unataka single mother au lah!
Manake wanaume wa humu kwa visirani hamjambo!!!!