Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

Wanasahau bado ni mchezaji wa Azam.
 
Sheria za mikataba zingekuwa hivi zingekuwa hazina maana ya kuitwa sheria
 
this is true 😂😂. sema dube is worthless. he cant help yanga at the moment. unless they want musoda out. which is stupid also
It will be stupid to sign dube and sort out musonda kwakweli
 
Hizi barua za Azam siku hizi sijui tatizo nini , hakuna Mhuri wala jina la aliyeidhinisha barua hata Azam media nakumbuka pia walitoa iko hivi na ilikuwa haina hata tarehe
 
Maneno mengi ya nini, pelekeni ofa sio mnataka kupata mchezaji kijanja janja mmezoea free agent
 
wao wanafikiri mchezaji anaweza kuvunja mkataba kadri anavyotaka, hawajui kuna sheria za FIFA zinazomlinda mchezaji na klabu pia
Hii ishu inatofauti gani na kilichofanywa na Feisal Salum? Feisal si alishupalia kuvunja mkataba na Yanga?
 
Na hawezi kuuzwa team asiyotaka
 
Sijawahi kuona mchezaji anauzwa kama mnada
 
RAPHINA alogoma kwenda Arsenal & Chelsea ambako Leeds walitaka kumuuza, mwisho wa siku kaenda zake Barcelona tena kwa fee ndogo.

Kumbuka wakati huko hakuwa nje ya mkataba.
 
It will be stupid to sign dube and sort out musonda kwakweli
Kiongozi gani wa Yanga ametangaza kuwa watamsajili DUBE ili achukue nafasi ya musonda.
 
Hapo ni kama mnadani, unaweza kuuza bidhaa kwa laki halafu akaja mteja mwngn anataka bidhaa hy hy kwa laki tano
 
RAPHINA alogoma kwenda Arsenal & Chelsea ambako Leeds walitaka kumuuza, mwisho wa siku kaenda zake Barcelona tena kwa fee ndogo.

Kumbuka wakati huko hakuwa nje ya mkataba.
Wakati wa sakata la Feisal mlipokuwa mnatolewa mfano Neymar kununua mkataba wake wa Barca kwenda Psg mlikuwa mkiukataa Sasa hivi mnaanza kuleta mifano ya ulaya.
 
Wakati wa sakata la Feisal mlipokuwa mnatolewa mfano Neymar kununua mkataba wake wa Barca kwenda Psg mlikuwa mkiukataa Sasa hivi mnaanza kuleta mifano ya ulaya.
YANGA HAWAKUWA NA KUSUDI LA KUMUUZA ASIKO TAKA. WALISEMA ANAYE MTAKA AENDE MEZANI.

sasa kaeni kwa uzuri mkisubiri show za kisasi.
 
Sheria za mikataba zingekuwa hivi zingekuwa hazina maana ya kuitwa sheria
Mikataba ya soka ina mambo sana. Ndiyo maana Neymar aliweza kuondola Barca na akaenda PSG licha ya kwamba alikuwa na mkatana mgumu.

Ova
 
Hakika, ndiyo kama kitu nilichokisema kwenye maoni yangu hapo juu.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…