mlambaji asali
Senior Member
- Jan 30, 2023
- 150
- 505
Mkuu hili ndio tatizo letu la msingi, mido unatakiwa kila muda uutamani mpira, yaani unaufata upewe Sasa sisi watu wanaogopa mpira [emoji848][emoji848]Ukweli mchungu, kina mzamiru,kina kanoute hawatufai,midfielder inaogopa mpira kama una moto..
Hapa sijaja kutoa kejeli mkuuMtoa mada anaweza kuwa anakejeli, ila huu ni ukweli ulio wazi, Hawa jamaa wana watu wa kazi.. Hata timu yangu ya Yanga ilifanyie kazi hili
Kafie mbele Sasa humu hujaitwaHao wachezaji wa Real Bamako wana ubora upi?
Wakawaida tu, tatizo lenu UTO huwa mnataka watu waone mmeifunga timu yenye ubora kuliko zinazofungwa na Simba.
Zinanishangaza sana zile midfilder.. π€£Mkuu hili ndio tatizo letu la msingi, mido unatakiwa kila muda uutamani mpira, yaani unaufata upewe Sasa sisi watu wanaogopa mpira [emoji848][emoji848]
π π π Acha kuwasagia kunguni Mzee π πUkweli mchungu, kina mzamiru,kina kanoute hawatufai,midfielder inaogopa mpira kama una moto..
Basi muwe mnaotoa ushauri unaoendana na uhalisia. Sasa wachezaji wote wa Bamako wakija Simba watakuja kama wachezaji wa kigeni.Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.
Wakitoa pasi, alaf wanajificha wasipasiwe tena π π πMkuu hili ndio tatizo letu la msingi, mido unatakiwa kila muda uutamani mpira, yaani unaufata upewe Sasa sisi watu wanaogopa mpira [emoji848][emoji848]
Huo ndio ukweli mzee,duniani midfielder muda wote anautaka mpira,sasa zetu zinaukimbia,inonga ana mali mguuni,kanoute anageuzq mgongo, mwishowe mpira unaenda kwa kapombe,unarudi kwa inonga unabutuliwa.π π π Acha kuwasagia kunguni Mzee π π
Mlifeli kumkosa Aucho. mchezaji kajileta nyie mnaleta ubahili kama manzoki tuZinanishangaza sana zile midfilder..
π π π Ila Mzamiru yupo humu, akiona hatojisikia fresh.Huo ndio ukweli mzee,duniani midfielder muda wote anautaka mpira,sasa zetu zinaukimbia,inonga ana mali mguuni,kanoute anageuzq mgongo, mwishowe mpira unaenda kwa kapombe,unarudi kwa inonga unabutuliwa.
Akereke tu, nasi anatukera pia.π π π Ila Mzamiru yupo humu, akiona hatojisikia fresh.
Sema huwa nakereka mtu akitoa pasi, badala ya kufungua ili apewe tena, anajifichaa π π