Real Bamako Kuna wachezaji wazuri kuliko Tulionao Simba, Uongozi ulifanyie kazi

Nimemuangalia mchezaji wao mmoja anaitwa Ibrahim Sidibe jamaa ni fundi, akiwa na mali mguuni anajua nini anakifanya tena kwa usahihi!
 
Timu imefungwa mechi zote kimashindano na ni ya mwisho kwenye kundi lake halafu unasema ina Wachezaji wazuri kuliko wa Simba inayoshika namba mbili? Pumbavu!!
 
Timu imefungwa mechi zote kimashindano na ni mwisho kwenye kundi lake halafu unasema ina Wachezaji wazuri kuliko wa Simba inayoshika namba mbili? Pumbavu!!
Kwahiyo timu ikishika nafasi ya mwisho na kutokushinda ndo inakua haina wachezaji wazuri?

Kwahiyo mkuu inamaana mpira hujui kabisa au unajizima data tu?
 
Kwahiyo timu ikishika nafasi ya mwisho na kutokushinda ndo inakua haina wachezaji wazuri?

Kwahiyo mkuu inamaana mpira hujui kabisa au unajizima data tu?
ACHA ushamba wewe. Timu inakuwa ya mwisho halafu inakuwa nzuri? Zinakutosha kweli?
 
Kweli dunia ina maajabu yake,

Yaani hao unaowaita ni wazee kwenye klabu Bingwa wana point 6 na ni wa pili kwenye msimamo wa kundi lao na wana nafasi kubwa tu ya KUVUKA makundi,

Hao unaowapigia debe kwenye shirikishisho wana point moja na ni wa mwisho kwenye msimamo wa kundi lao, halafu unatushauri tuwachukue waliofeli tena?


Kwa sisi manguli wa Hesabu,hasa tulioielewa TOPIC ya LOGIC, ni wazi tu Simba hii sio PAKA.....
 
ACHA ushamba wewe. Timu inakuwa ya mwisho halafu inakuwa nzuri? Zinakutosha kweli?
Anza kujifunza mpira kwanza Ili uache kukurupuka kuongea pumba

Mfano Habibu kyombo wajua ametoka timu gani? Hiyo timu wajua Iko wapi sasa?

Marcel kaheza alisajiliwa Simba akitoka majimaji ambayo ilikua inashuka daraja msimu huo
 
Timu imecheza mechi 4 haijashinda hata moja. Ina sare 2 na vipigo viwili inaburuza mkia kwenye kundi,hao wachezaji wazuri ni wapi ambao kwa sasa hawana msaada na timu yao. Wote makapi tu yale.
 
kweli kabisa, kuna zile midfielder mbili ya juu na chini! ie koulibaly na sidibe! wako vzr
 
Hata Viper s Ina wachezaji wazuri kuliko walioko Utopolo...
 
Unaita binadamu wenzio mauchafu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…