bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 566
- 420
Bamako wakawaida sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kufungwa ndo wamekua wa kawaida?Bamako wakawaida sanaaa
Timu imefungwa mechi zote kimashindano na ni ya mwisho kwenye kundi lake halafu unasema ina Wachezaji wazuri kuliko wa Simba inayoshika namba mbili? Pumbavu!!Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana
Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.
Ushauri wangu uzingatiwe
Simba nguvu moja
Kwahiyo timu ikishika nafasi ya mwisho na kutokushinda ndo inakua haina wachezaji wazuri?Timu imefungwa mechi zote kimashindano na ni mwisho kwenye kundi lake halafu unasema ina Wachezaji wazuri kuliko wa Simba inayoshika namba mbili? Pumbavu!!
ACHA ushamba wewe. Timu inakuwa ya mwisho halafu inakuwa nzuri? Zinakutosha kweli?Kwahiyo timu ikishika nafasi ya mwisho na kutokushinda ndo inakua haina wachezaji wazuri?
Kwahiyo mkuu inamaana mpira hujui kabisa au unajizima data tu?
Tunaongelea uzuri wa wachezaji na sio uzuri wa timuACHA ushamba wewe. Timu inakuwa ya mwisho halafu inakuwa nzuri? Zinakutosha kweli?
Anza kujifunza mpira kwanza Ili uache kukurupuka kuongea pumbaACHA ushamba wewe. Timu inakuwa ya mwisho halafu inakuwa nzuri? Zinakutosha kweli?
Yanga ndio wazee,simba ni timu wachezaji wazee.
Timu imecheza mechi 4 haijashinda hata moja. Ina sare 2 na vipigo viwili inaburuza mkia kwenye kundi,hao wachezaji wazuri ni wapi ambao kwa sasa hawana msaada na timu yao. Wote makapi tu yale.Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana
Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.
Ushauri wangu uzingatiwe
Simba nguvu moja
kweli kabisa, kuna zile midfielder mbili ya juu na chini! ie koulibaly na sidibe! wako vzrNatoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana
Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.
Ushauri wangu uzingatiwe
Simba nguvu moja
Unaita binadamu wenzio mauchafu!Natoa wito Kwa uongozi wa klabu yangu ya Simba kupitia scouting ya timu uwamulike hawa wachezaji wa As Real Bamako. Humu tunapata wachezaji wengi wazuri kwa bei nafuu sana
Nimeona wachezaji wenye uwezo zaidi ya hawa kina baleke, kyombo, sakho, boko, Banda Saido na mauchafu mengine mengi tuliyoyajaza klabuni kwetu.
Ushauri wangu uzingatiwe
Simba nguvu moja
Mashabiki wa Yanga wengi mpira kwao ni vita.Unaita binadamu wenzio mauchafu!