Real Estate business in Tanzania

Real Estate business in Tanzania

Uhakikishe kwamba wateja wako wako happy katika nyumba zao,na pale wanapokuwa na matatizo watatuliwe haraka, lazima kuwepo mfuko wa maintenance, nyumba zinaharibika, maji leak, umeme, tv kuharibika, dish satellite na nk.

Kama nimesahau chochote uliza
 
Unaweza kufanya biashara ku exchange wateja na agency mwengine. Make sure unapata percentage yako, katika mwaka mwezi mmoja wako, na kama utaletewa mteja na dalali mwezi mmoja wake kila mwaka.

.

Hapa sijakuelewa kiongozi.. Yani mfano mteja atakaa miaka minne, dalali anakula hela ya mwezi kwa kila mwaka kwa hiyo miaka minne?? Hizi cost za dalali anazi incur nani, ?
 
Hapa sijakuelewa kiongozi.. Yani mfano mteja atakaa miaka minne, dalali anakula hela ya mwezi kwa kila mwaka kwa hiyo miaka minne?? Hizi cost za dalali anazi incur nani, ?

Hapana si kweli kama anakuka kila mwaka ila wakati mnaandikishana mktataba wa kwanza TU!!!
 
Back
Top Bottom