Real Estate business in Tanzania

Real Estate business in Tanzania

malenga wetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
283
Reaction score
198
Wadau,
Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe. Niliamua kuingia kwenye Real Estate baada ya kuona atleast ina future na pia kitu ninachopenda kukifanya.

Nimewahi kutembelea site mbalimbali kujionea shughuli za ujenzi wa majumba hasa appartments, kwa kweli nimehamasika sana. Pamoja na kwamba biashara hii ni nzuri ila pia ina changamoto zake, ikiwa ni pamoja na utapeli katika ununuzi wa viwanja au nyumba.

Ningependa kupata ushauri wenu, hasa kutoka kwa wale uzoefu katika real estate, wa jinsi ya kuanza kufanya biashara hii na pia jinsi ya kufanikiwa. Michango yenu ni muhimu sana, nakaribisha kwa yeyote mwenye "success story" aweze kushare na sisi.

Asante.
 
Mkuu Hata Mimi Huwa Navutiwa Sana Na Hii Biashara Ingawa Siijui Na Wala Sijui Inafanyikaje!Ngoja Tusubiri Washauri..!!
 
Sides mkuu Una interest km yng sema ujipange dials la capital mi hapo ndyo nimekwama
 
Tips For Working As A Real Estate Agent
Real estate salespeople, and other licensees who are required to work for and under the umbrella of a designated broker, are often referred to as real estate agent. In legal language, the term "agent" refers to the strictly defined relationship between a real estate salesperson and the buyers and sellers with whom he or she conducts business. An agent is an individual who is authorized and consents to represent the interests of another person. As an agent, you act to assist people through the process of buying, selling and renting land, homes and other properties.

In addition to meeting licensing requirements and having a comprehensive understanding of pertinent real estate laws, real estate agents have a long list of responsibilities. Real estate agents typically do the following:

  • Advise clients on mortgages, market conditions and pricing
  • Advise sellers on how they can make their homes more attractive to buyers
  • Compare properties to determine fair and competitive market price
  • Generate lists of appropriate properties for buyers based on their price range and needs
  • Guide buyers and sellers through the transaction process
  • Manage lists of contacts
  • Mediate negotiations between buyers and sellers
  • Prepare and submit all required paperwork, including various contracts
  • Present all purchase offers to sellers for consideration
  • Promote properties through advertising, listing services (such as The Daproperty. MLS)
  • Show properties to prospective buyers
  • Solicit potential clients to buy, sell and rent properties
  • Stay current with real estate laws and trends
  • Work nights and/or weekends to accommodate clients' needs
Here, we take a look at a few considerations that will help you fulfill your agent responsibilities, while advancing your career as a real estate agent.

Sphere of Influence
One way to build contacts and generate leads is through a real estate sphere of influence (SOI) business model. This networking strategy focuses on generating real estate leads through the people you already know, including your family, friends, classmates, business associates, sports team members, and even vendors (like your doctor and hair stylist). The best way to keep track of all the names and contact information is in one place, such as in a spreadsheet program (such as Excel), your email's contacts database or with commercial software.

Once you have established your SOI database, it is easy to add contacts as you meet people – at community events, thru mutual acquaintances or by any other means. The more people you have on your list, the larger your SOI and the better your chances for a referral. Plan on sending out a "new agent" announcement – through the mail, phone, email, text or any combination catered to each type of contact – when you begin your career, as well as periodic updates and shout-outs to keep your SOI thinking about you and your real estate services.

Developing a Professional Image
Developing and maintaining a professional presence is vital to your success as a real estate agent. Your image is projected through your:

  • Appearance – tidy clothing, hair, accessories, makeup. Should be appropriate for your office and local market. Avoid perfume/cologne and revealing clothing (i.e., nothing too tight, too short or too low cut).
  • Face-to-face meetings – good eye contact, positive body language. Strive to be attentive, engaging and courteous.
  • Marketing and advertising materials –quality photos and accurate, compelling text. Should be free of grammatical and spelling mistakes.
  • Phone calls – articulate, engaging and courteous.
  • Web presence – carefully planned Web site, engaging social media. Should be free of grammatical errors and spelling mistakes.
  • Written communications – well-written letters, emails and texts free of grammatical errors and spelling mistakes.
It is important to note that any presence you have on the Internet – whether for your business or personal life – lasts forever and can easily find its way to your potential clients. Therefore, it is judicious to work toward a professional image both in and out of your real estate career.
Utilizing Tools and Technology
Going hand-in-hand with developing a professional image is utilizing tools and technology. Today's agents can use a number of tools to help organize and promote their real estate businesses, including:

Contact Management
Keeping track of your clients is a must. You can go basic with a spreadsheet program or an email database program such as Outlook's, or you can invest in database software designed specifically for real estate professionals. Commercial products offer a number of useful features, including automated contact synchronization to your smart phone. No matter how you keep track of your contacts, keep the list current – updating, adding and deleting contacts as appropriate.

Agent Web Sites
Consider setting up your own domain name and website. While this may seem daunting to some, it is easier than ever to build a professional looking Web site. While large corporations may spend hundreds of thousands, or even millions of dollars, developing and maintaining their Web sites, you can do it for a very small financial investment.

A Web site provides you with a "landing page" to direct your existing and potential clients to, while creating a professional, searchable Web presence. It is possible to have individual property Web sites to promote your listings and keep your sellers happy. You can also take advantage of social media by linking to your Facebook, Twitter and LinkedIn profiles (and any other social media platforms).

Marketing
Real estate agent marketing software can help you manage your marketing efforts. These packages typically include templates for business cards, door hangars, postcards, property flyers, brochures, email campaigns and animated home tours to help you efficiently reach out to existing and potential clients.

The Bottom Line
Working as a real estate agent has its challenges: you don't get paid unless you sell, you can work long hours and still have no paycheck, and you have to adapt to changing market conditions. That said, it can be a rewarding career, both financially and professionally. Calling on your sphere of influence, projecting a professional image and utilizing today's real estate tools and technology can help you develop a successful career in real estate.

Written by Jean Folger

To read more articles visit. Dar Property Home
 
Wadau,
Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe. Niliamua kuingia kwenye Real Estate baada ya kuona atleast ina future na pia kitu ninachopenda kukifanya.

Nimewahi kutembelea site mbalimbali kujionea shughuli za ujenzi wa majumba hasa appartments, kwa kweli nimehamasika sana. Pamoja na kwamba biashara hii ni nzuri ila pia ina changamoto zake, ikiwa ni pamoja na utapeli katika ununuzi wa viwanja au nyumba.

Ningependa kupata ushauri wenu, hasa kutoka kwa wale uzoefu katika real estate, wa jinsi ya kuanza kufanya biashara hii na pia jinsi ya kufanikiwa. Michango yenu ni muhimu sana, nakaribisha kwa yeyote mwenye "success story" aweze kushare na sisi.

Asante.

Duniani real estate developers wengi ni watu wanaosafisha pesa chafu, Una mango wakuiibia serikali yetu kiasi gani?
 
DarProperty Tz

Thank you for this informative article. Its not my intention to work as a Real estate agent but Real estate developer (meaning building, buying & selling and house flipping)
 
Last edited by a moderator:
Duniani real estate developers wengi ni watu wanaosafisha pesa chafu, Una mango wakuiibia serikali yetu kiasi gani?

kila mtu ana nia flani anapoamua kufanya kitu fulani. Nia yangu ni kuwa na njia ya kuongeza kipato (passive income) apart from mshahara nnaopkea kutoka kwa muajiri wangu. Zaidi ningependa siku moja niache kazi za kuajiriwa na nijiairi mwenyewe. Mind you kwamba unapokuwa umeajiriwa ni kwamba unatimiza ndoto za boss wako na sio ndoto zako.
 
Mkuu Hata Mimi Huwa Navutiwa Sana Na Hii Biashara Ingawa Siijui Na Wala Sijui Inafanyikaje!Ngoja Tusubiri Washauri..!!

Sides mkuu Una interest km yng sema ujipange dials la capital mi hapo ndyo nimekwama

Nafurahi kuona kwamba tuko wengi wenye interest. Nashauri tujifunze zaidi kuhusu hii biashara, ili tuweze kufanya informed decision. Kuhusu capital kwa sasa sio ishu sana ukizingatia kwamba bank nyingi zimeanza kutoa mikopo ya nyumba
 
Hivi unaweza kuwa na wazo la kumiliki real estate business kwa kuanzia kununua viwanja na kuuza (kwa kukuza mtaji) ili kufikia malengo?
 
kila mtu ana nia flani anapoamua kufanya kitu fulani. Nia yangu ni kuwa na njia ya kuongeza kipato (passive income) apart from mshahara nnaopkea kutoka kwa muajiri wangu. Zaidi ningependa siku moja niache kazi za kuajiriwa na nijiairi mwenyewe. Mind you kwamba unapokuwa umeajiriwa ni kwamba unatimiza ndoto za boss wako na sio ndoto zako.

Real estate ni biashara inayohitaji Fedha nyingi na hasa kwenye miji mikubwa, umejiandaa vyema?
 
Real estate ni biashara inayohitaji Fedha nyingi na hasa kwenye miji mikubwa, umejiandaa vyema?

Ni kweli lakini huwezi jiandaa kama huna ndoto unayoigeuza kuwa mkakati!!!

Fedha nyingi huja kwa kuwa na mpango wa kuzitafuta na kushiriki na watu wa level unayoifikiria!!!! Huwezi kukaa na nyama utegemee shombo ya samaki mkuu.

Cha muhimu ni kuwa na ndoto kwanza na kujua mahitaji yake
 
Hivi unaweza kuwa na wazo la kumiliki real estate business kwa kuanzia kununua viwanja na kuuza (kwa kukuza mtaji) ili kufikia malengo?

Inawezekana mkuu kutegemea na idadi ya viwanja,site vilipo na bei ya soko!!!!!

Utauza viwanja na kujenga nyumba,utakopea nyumba na kuendeleza kiwanja,nayo unakopea na kukamilisha mzunguko!!!

Kama sio muuzaji wa nyumba faida yake ni taratibu ila ya uhakika na hakuna presha
 
Hivi unaweza kuwa na wazo la kumiliki real estate business kwa kuanzia kununua viwanja na kuuza (kwa kukuza mtaji) ili kufikia malengo?

Real estate imgawanyika katika makundi tofauti kama ununuzi na uuzaji wa viwanja na mashamba (Land RE), uuzaji na ununuzi wa nyumba, ununuzi na ukarabati wa nyumba (house fliping and Rehab), Ujenzi, kupangisha nyumba (landlording), udalali wa nyumba na viwanja (RE Agents), etc.

Wazo lako la kununua na kuuza viwanja ni zuri sana na tayari hiyo ni Real estate b'ness. Hii ndio njia rahisi zaidi ya kukuza mtaji.
 
Real estate ni biashara inayohitaji Fedha nyingi na hasa kwenye miji mikubwa, umejiandaa vyema?

sio kweli kwamba lazima uwe na fedha nyingi. Nimewahi kutembelea mradi wa Sea breeze residentia complex, ni kati ya miradi mikubwa inayoendelea sasa hivi hapa Tanzania ya ujenzi wa nyumba kwa ajili ya kuuza.

Walichofanya walitengeneza nyumba moja ya mfano (sample house) kisha wakafanya marketing ya hali ya juu. Kwa hiyo mteja atakaepanda kununua nyumba kwao atatoa atleast nusu ya bei ya nyumba ili aweze kujengewa apartment yake inayofanana na ile sample house.

Kiuhalisia ni kwamba wanajenga kwa kutumia pesa za wateja. Hivi tunavyoongea wameshajenga zaidi ya appartments 200 huku zaidi ya appartments 180 zikiwa zina wateja tayari.

Pia benk sasa hivi zinatoa sana mikopo kwenye miradi kama hii.
 
Ni kweli lakini huwezi jiandaa kama huna ndoto unayoigeuza kuwa mkakati!!!

Fedha nyingi huja kwa kuwa na mpango wa kuzitafuta na kushiriki na watu wa level unayoifikiria!!!! Huwezi kukaa na nyama utegemee shombo ya samaki mkuu.

Cha muhimu ni kuwa na ndoto kwanza na kujua mahitaji yake

well said
 
Back
Top Bottom