Unaipata kwenye king'amuzi gani hiyo channel?, Azam tv kama wameiondoa hivi.TZ bei za nyumba ni kubwa sana,ukiangalia Fine Living - House Hunters utaona nyumba hadi za milioni 400 USA nzuri zipo hadi ufukweni.
Lakini mbona mdororo juu ya mdororo na hakuna hopeHebu tuchunguze hilo mkuu, huenda kuna vitu anafanya wao wanaviona kutoka katika Point of view yao ambayo kutokana na Point yako kimtizamo uliyonayo huvioni.,
Ukiua uchumi huwezi urudisha kirahisiNgoja mirad mikubwa ya kukamuana ya kukamuana kodi za kila aina iishe, ndipo hapo mkanda unawezwa kulegezwa kidogo..labda 2030 hivi.
Hii sio ishu ya corona ,1.vyuma kukaza 2.serikali kuhamia dodoma.Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU.
Kwa wakazi wa Dsr es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua kinachoendelea pale.
Ukija jengo refu kuliko yote barabara ya Sam mujoma hapa karibu na Chuo /Mlima city iko wazi miaka sasa, hakuna wapangaji.
Ukienda zile flat za NHC zilizoko Morocco ziko tupu, China plaza Kariakoo inaelekea kuwa tupu, discount center wakitoka mle inakua gofu.
Ukienda mjini, Posta majengo mengi wameandika space to let, Rent here, space available.
Naona jengo jipya la Palm Village Millard Ayo amepewa kazi ya kupiga debe masaa 24, sina hakika kama wataweza kuhimili.
Je hii inatokana na nini ama inaashiria nini kwenye uchumi huu wa kati?
yawezekana pia mimi na ww hatuioni hyo hope kulingana na mawazo yetu ila wao wanaiona kulingana na mawazo yao, tujichunguze na tuwachunguze katika mtizamo tofauti! huenda tukapata majibu fikirishi na ridhishiLakini mbona mdororo juu ya mdororo na hakuna hope
Kweli azam wameiondoa ipo kwenye startimes pia.Unaioata kwenye king'amuzi gani hiyo channel?, Azam tv kama wameiondoa hivi.
Kariakoo kipindi chote hata uongeze frem 100 zinajaa. Mfan pale kariakoo sokomi nnje ya jengo kulikuwa na space wazo pembeni ,wakaamua design viduka vidogo,vilijaa in advance....................Unajua mimi huwa nasema Magufuli japo hajafanya vizuri lakini kuna lawama nyingine anatupiwa bure. Hebu angalia vitu kama frem za maduka. Ilifikia kipindi kila anayejenga ni lazima aweke frem za maduka.
Kariakoo nyumba zote zikageuzwa frem. Kimsingi mitaa yote ya Dar nyumba za mbele zimepambwa na frem za maduka. Kwa hali hii hata uchumi uwe mzuri kiasi gani lakini nyingi ni lazima zitakosa wapangaji.
Hizo biashara ndogo ,ambazo hata frem posta kulipa rent ni ngumu......hapa tunazungumzia real estate maeneo ya biashara zaidi mjini ,huwezi niambia una store furniture ndani kwako na cement unauzia mtandaoni......majumbani mtaani huku adhari sio kubwa sana ,athari property za biashara ambazo zimejwngwa kwa mkopo au kwa mtaji mkubwa .mfano uwanja tu Sqm.500 umenunua mil 500 umeweka ghorofa yako barabarani for lease,na uswahilini nyumba za kupanga hakuna shida sana.....Sasa hivi watu wana store zao majumbani kisha wapo mitandaoni kutangaza biashara
Nilikuwa nashangaa comment yangu pendwa sijaiona bado.Mitano tena
Arusha kacheki AICC,Mfao house,etc utafurahi bro.Kwa hiyo ikitokea tena serikali ikahamia Arusha Dodoma panakufa, Arusha ndio inachangamka ama inakucha?
Tunajua nyumba tunazoishi mkuu na ndio maana hua tunasema nimejenga ka 'kibanda' kule pale bunju.Kwa sehemu ile na aina ya nyumba bei siyo kubwa. Sema wabongo wengi tumezoea ''nyumba'' za milioni ishirini. Nikuhakikishie kuwa nyumba nyingi tunazoishi hazina hadhi ya kuitwa nyumba. Nyingi ni muunganisho wa matofali na sementi na bati juu. Hakuna utaalam wowote kwenye kujenga.
Maintainace costs>renting feeNenda gorofa lile la NHIF nujoma room
Kuna office zipo bwelele
Sasa kama bei ni kubwa si washushe ili twende Sawa na hali iliyopo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hayo mnayajua wachumi,bwn yule cha msingi ye anaona miradi yake ya ujenzi inaendelea anaona fresh tu labda ile mpk ikwame ndio atakaa chini asikilize mtu.Assets economy inapoanguka huwa ni jambo baya sana maana assets ndizo mitaji na ndizo zinazolinda uchumi wa nchi hata na mtu mmoja mmoja zisisumbuliwe sana ili zibakie kama dirisha la kupumulia
Diaspora si Wabongo wenzetu....Naona Palm village wanakaribisha mpaka diaspora kununua apartments zao sijui hii kisheria imekaaje
kwani real estate ni majengo marefu tuu. mbona nyumba karibia zote zina wapangaji. kila siku watu wanajenga nyumba za kupangisha na wapangaji wapoBiashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU.
Kwa wakazi wa Dsr es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua kinachoendelea pale.
Ukija jengo refu kuliko yote barabara ya Sam mujoma hapa karibu na Chuo /Mlima city iko wazi miaka sasa, hakuna wapangaji.
Ukienda zile flat za NHC zilizoko Morocco ziko tupu, China plaza Kariakoo inaelekea kuwa tupu, discount center wakitoka mle inakua gofu.
Ukienda mjini, Posta majengo mengi wameandika space to let, Rent here, space available.
Naona jengo jipya la Palm Village Millard Ayo amepewa kazi ya kupiga debe masaa 24, sina hakika kama wataweza kuhimili.
Je, hii inatokana na nini ama inaashiria nini kwenye uchumi huu wa kati?
Duu kwa akili hiikwani real estate ni majengo marefu tuu. mbona nyumba karibia zote zina wapangaji. kila siku watu wanajenga nyumba za kupangisha na wapangaji wapo
Diaspora si Wabongo wenzetu....