Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

SERIKALI YTU INAISH KWA KUKOMOANA SANA, WAMEONA BORA WAJENGE MIJENGO MINGI BILA KUJUA NANI ATAKAA KULIKO KUPELEKE PESA KWENYE MIFUKO YA MAENDELEO YA AFYA, ELIMU NA KILIMO! WE ACHA TUU! TUKIONGEA KWA HERUFI KUBWA TUNAONEKANA WAZARAMO.. 😷 🥴
 
Hata wakishusha bado mazingira ya kufanya biashara kwa sasa ni magumu vibaya....utalipa kodi nafuu ya jengo,ila kuna TRA na hakuna wateja
Nenda gorofa lile la NHIF nujoma room
Kuna office zipo bwelele
Sasa kama bei ni kubwa si washushe ili twende Sawa na hali iliyopo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Hapa jambo ni moja tu

Biashara imekuwa ngumu mnoo, mzunguko wa pesa umekuwa mdogo mnooo. Hata ile miradi iliyokuwa inaanzishwa na serikali ilikuwa inahusisha sekta binafsi pia sasa hivi serikali inafanya kila kitu yenyewe unategemea nini.
 
Inaashiria tupo kwenye right track na hivyo basi Watanzania tutembee vifua mbereeee maana sisi ni matajiri sana.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Maendeleo hayana chama ila lazima kiwepo chama cha kutuongoza kwenda shimoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa uzoefu wangu kupitia amerika wakati wa recesion biashara zote zilipoanguka ndipo ikafuatia biashara ya majengo kuufunga ukurasa wa muanguko rasmi wa kiuchumi hakukuwa najinsi tena ililazimu serekali yao kutoa stimulus package kuuamsha tena uchumi
 
Kwa uzoefu wangu kupitia amerika wakati wa recesion biashara zote zilipoanguka ndipo ikafuatia biashara ya majengo kuufunga ukurasa wa muanguko rasmi wa kiuchumi hakukuwa najinsi tena ililazimu serekali yao kutoa stimulus package kuuamsha tena uchumi
Jiwe hawezi kutoka stimulus package hata uchumi uwe ICU.
 
Chakustaajabisha ni pale jengo linakaa bure mmiliki hataki kushusha kodi na anaona ni bora likae tupu hata miaka kumi ilipaswa kwa wakati huu sisi wanyonge tukalie haya maghorofa
Shida ni kwamba wanyonge hamna kipato cha kuishi kulingana na standard za hizo nyumba. Matokeo yake mtaaza kuwasha majiko ya mkaa huko ndani na kupikia kuni kwa sababu huna kipato cha kukuwezesha kununua gas au umeme wa kupikia makande na maharage ambacho ndicho chakula pendwa na afordable kwa ninyi wanyonge mnaotamani kuishi maisha ambayo mwenyezi Mungu hakuwajaalia. Ridhikeni na alichowajalia Mungu raha ya milele mtaikuta mbinguni.
 
Mtu unaenda kuweka Duka la nguo ghorofa keenye apartment wakati chini karibu na jengo kuna Banda la machinga na yeye ameweka bidhaa zile zile ulizo nazo wewe ghorofani Tena ana kitambulisho Cha machinga tu.

Nguo unauza 30,000 yeye machinga nguo anauza 9,000 nguo hiyo hiyo.


Haihitaji degree kujua tumekosea wapi.


Posta mama lishe wamejaa kila sehemu ile migahawa yote wanahangaika biashara ngumu.
 
Ucumi imara unapimwa na vitu viwili muhimu.
1.Financial system
2.Stock Market
Hiyo number 1 ndio mjumuisho hadi wa real estate financing,kw anchi hiii financial system iko hoi kweli kweli,ikimaanisha uchumi uko hoi pia..
 
Kwa sasa ni recession dunia nzima. Ndiyo maana super powers China na US wanapambana kupata approval ya stimulus packages ili kuchagiza uchumi.
 
Back
Top Bottom