Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda gorofa lile la NHIF nujoma room
Kuna office zipo bwelele
Sasa kama bei ni kubwa si washushe ili twende Sawa na hali iliyopo
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huo mradi na wa Kawe ubavuni mwa Packers vimepigwa pini kitambo sana hata zile Senior quarters za Mjini Mikochen zilizuiwa wanaishi popo tu na kuna quarters nyingine ziko Kunduchi zilipigwa pini piaMbona mradi huo wa moroco ni kama umepigwa pini mzee
Ova
Jiwe hawezi kutoka stimulus package hata uchumi uwe ICU.Kwa uzoefu wangu kupitia amerika wakati wa recesion biashara zote zilipoanguka ndipo ikafuatia biashara ya majengo kuufunga ukurasa wa muanguko rasmi wa kiuchumi hakukuwa najinsi tena ililazimu serekali yao kutoa stimulus package kuuamsha tena uchumi
Assets economy inapoanguka huwa ni jambo baya sana maana assets ndizo mitaji na ndizo zinazolinda uchumi wa nchi hata na mtu mmoja mmoja zisisumbuliwe sana ili zibakie kama dirisha la kupumuliaJiwe hawezi kutoka stimulus package hata uchumi uwe ICU.
Shida ni kwamba wanyonge hamna kipato cha kuishi kulingana na standard za hizo nyumba. Matokeo yake mtaaza kuwasha majiko ya mkaa huko ndani na kupikia kuni kwa sababu huna kipato cha kukuwezesha kununua gas au umeme wa kupikia makande na maharage ambacho ndicho chakula pendwa na afordable kwa ninyi wanyonge mnaotamani kuishi maisha ambayo mwenyezi Mungu hakuwajaalia. Ridhikeni na alichowajalia Mungu raha ya milele mtaikuta mbinguni.Chakustaajabisha ni pale jengo linakaa bure mmiliki hataki kushusha kodi na anaona ni bora likae tupu hata miaka kumi ilipaswa kwa wakati huu sisi wanyonge tukalie haya maghorofa
kwa bei gani mkurugenzi?Nenda kwa mwenye nyumba. Achana na madalali. Madalali hawataki kuonyesha bei za nyumba zimeshuka. Nimpo Mbezi Jogoo. Fully furnished two bedroom complex.
wengi hawajajua kua huku ndo tunakoelekea naona!Ila tuelewe maduka mengi yatakufa na kubakia stores
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app