Usijipangie kikosi tuu,
Muangalia kwanza mpinzani wako yupoje ...?
Mkuu mimi msimamo wangu uko pale pale. Nendeni kwao ndio nitabadilisha msimamo wanguMkuu bado una msimamo huu huu?
Niliwaaambia tutawashangaza, ninaamini hakuna yeyote anayetutaka kwa sasa.
Mkuu mimi msimamo wangu uko pale pale. Nendeni kwao ndio nitabadilisha msimamo wangu
Sawa kulingana na ushabiki lazima uvutie kwako. Na OK mba tukutane J4 ijayoKimoyo moyo unajua kazi ishakwisha hii.
Narudia kukwambia, Man City si kitu kwa LFC, hata game ya kwanza waliyotufunga Sadio Mane alipewa kadi nyekundu.
Otherwise 11 by 11 tunawakalisha tu.
Mkuu mimi msimamo wangu uko pale pale. Nendeni kwao ndio nitabadilisha msimamo wangu
Kimoyo moyo unajua kazi ishakwisha hii.
Narudia kukwambia, Man City si kitu kwa LFC, hata game ya kwanza waliyotufunga Sadio Mane alipewa kadi nyekundu.
Otherwise 11 by 11 tunawakalisha tu.
Mkuu mimi siyo mnafiki. Nimerudi na nimevunja kauli yangu. Heshima kwenu. Mkipewa Roma hiyo ni mpaka fainali.Tushamaliza mkuu, njoo tena hapa.
Mkuu mimi siyo mnafiki. Nimerudi na nimevunja kauli yangu. Heshima kwenu. Mkipewa Roma hiyo ni mpaka fainali.
We jua mkipewa Roma uhakika fainali.Roma kachukua timu niliyokuwa naomba kukutana nayo Nusu Final!
Yaani afunge yeyote ila cha msingi tu, barcelona atoke mapema!!
We jua mkipewa Roma uhakika fainali.
Mkuu hiyo ilikua EPL. Liverpool hamna ubavu kuvuka hatua inayofuata kwenye UEFA. Kubali kataa hamna uwezo huo kwenye UEFA
Hata mi naonaLiverpool tayari wapo nusu fainali CL..
HATA REAL LEO KUSHINDA NI KAZI SANA SEMA TU ALINDE MATOKEO ALIYOPATA ITALY.
VIVYO HIVYO KWA BAYERN.
Madrid atapitaaa lakini anafungwaMadrid ushindi upo wazi, mashabiki wa Andunje mtakufa kwa presha kuichukia madrid