Real Madrid leo atamshinda Juventus

Real Madrid leo atamshinda Juventus

Usijipangie kikosi tuu,

Muangalia kwanza mpinzani wako yupoje ...?

Mpizanai yupo vipi? ndo umpangie beki mua wapatie kumfanyia uchochoro? Magoli yote kashiriki kufungisha beki wa kulia. Nasikama ni leo tu jamaa amezoea kabisa kuwafungisha lakini kocha ana mahaba nae tu. Alikua Ac milan na alikua akikaa bench sasa jiulize juventus yasasa bingwa wa Italia ichukue mchezaji wa bench wa Ac milan ambayo inachezea nafasi ya 7 uko alafu aletwe awe ndio beki yao ya kila siku uwanjani utegemee nini.
 
Kimoyo moyo unajua kazi ishakwisha hii.

Narudia kukwambia, Man City si kitu kwa LFC, hata game ya kwanza waliyotufunga Sadio Mane alipewa kadi nyekundu.

Otherwise 11 by 11 tunawakalisha tu.
Sawa kulingana na ushabiki lazima uvutie kwako. Na OK mba tukutane J4 ijayo
 
HATA REAL LEO KUSHINDA NI KAZI SANA SEMA TU ALINDE MATOKEO ALIYOPATA ITALY.
VIVYO HIVYO KWA BAYERN.
 
WALE MNAOBETT LEO MADRID ANAKULA 3-1/2-0
CHONDE CHONDE
WALE WA KWA MUHINID
First time itakuwa Na magor mengi
Also Goli la Kwanza litakuwa below 27 min
 
Back
Top Bottom