Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Haya kikosi kipana kimepanuliwa zaidiWakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndio kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe Léo nyumbani
Daaah asalaleh!!!!Madrid kashapigwa 3 huko
We jamaa unafikir mtu kutoa utabiri negative si mshabiki... Pole mi mwenyewe real pure kaka.Madrid ushindi upo wazi, mashabiki wa Andunje mtakufa kwa presha kuichukia madrid
Hallah hallahhh[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Halla Madrid, Halla Madrid, Halla Madrid.
Ila Juve heshima yenu kule ndio kunaitwa kufa kiume, jamaa mna roho ngumu sana.
Mbebwa
Madrid vp huko kapigwa?Hallah hallahhh[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tukutane semiiiiii finaleMadrid vp huko kapigwa?
P mkuuTukutane semiiiiii finale
UEFADRID
Kiukweli Madrid hua inabebwa sana kwenye michuano hii.
Na ushahidi upo toka enzi za Franco.
From a football fan who supports Arsenal.The funny part is it is coming from a Barcelona fan,