Real Madrid leo atamshinda Juventus

Real Madrid leo atamshinda Juventus

Wakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndio kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe Léo nyumbani
Haya kikosi kipana kimepanuliwa zaidi
%C3%87oli%C3%B1a.jpg
 
Madrid ushindi upo wazi, mashabiki wa Andunje mtakufa kwa presha kuichukia madrid
We jamaa unafikir mtu kutoa utabiri negative si mshabiki... Pole mi mwenyewe real pure kaka.

Cheki tunavyoweweseka sasa.
 
Mzuqa wanaJF

Wataalam waliobobea katika maswala ya kandanda wanadai eti ile penati waliyopewa Madridi dhidi ya Juve ni sahihi kabisa. Wanavyoudhi wanazidi kusisitiza kadi nyekundu aliyopewa Buffon ni halali kabisa. Wanamtetea refa Oliver alitumia kiwango cha juu kabisa cha taaluma ya urefa kwa kuwa mtulivu na makini katika kutoa uamuzi huo bila kutetereka.

Kwa upande wangu na wengi tunapinga kabisa. Kulikuwa hamna haja yakutoa penati. Angepotezea tu na kusingekuwa na malalamiko yeyote kulingangana na mechi ilivyokuwa tense.
Hata kwa Madridi.

Ole wao kesho wapangwe na Bayani!
 
Tunataka malefa wenye kutumia taaluma yao ipasavyo na si wakufata mihemko ya mech na washabiki km malefa wa EPL.Penalty ilikua sahihi 100%
 
Back
Top Bottom