Real Madrid leo atamshinda Juventus

Real Madrid leo atamshinda Juventus

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Wakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndio kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe Léo nyumbani
 
Juventus turin leo tunashinda
hawa ni wanangu wa damu

striker wetu Gonzalo Kibonge Higuain
na mdogo wake Paulo Dybala

tunazuia kama Italy tunashambulia kama Argentina
 
Juventus turin leo tunashinda
hawa ni wanangu wa damu

striker wetu Gonzalo Kibonge Higuain
na mdogo wake Paulo Dybala

tunazuia kama Italy tunashambulia kama Argentina
Juve haina uwezo wa kuifunga Madrid. Madrid ni mashine nyingine.
Final atakuwa madrid vs Barcelona/Bayern Munich
 
Madrid anashinda hii game hata kama watu wanaibeza kwa sababu ya historia katika hatua ya mtoano. Lakini historia zipo ili zivunjwe na nasema anashinda kutokana na hali aliyonayo Madrid kwenye Laliga.

Mi leo nina uhakika 95% Madrid anaondoka na ushindi. Goli la Ronaldo halikosekani
 
Duh, man city simwamini sana... Bora wangekutana na bayan au madrid mapema!!
Mkuu kwa Bayern au Madrid katika hatua ya nusu fainali Barcelona anaweza kuwapiga hao. Ila Man City si anajua anajitengenezea historia kwa iyo lazima akomae kuwatoa vigongo hasa Barca. Na ndio maana nasema inaweza ikawa rahisi kwa Man City kuliko hao.
 
japo mm ni shabiki wa madrid lakini hii game naona dhahiri hatuchomoki, sanasana tutaambuliwa droo.
 
Wakuu nikiangalia ilivo real Madrid na kikosi chake kipana n'a nikizingatia ndio kumbe liliobakia wao msimu huu kugombania maana kuingine hamna nafasi ya kuchukua league ninaona lazma juventus afe Léo nyumbani
Anashinda 2-1/3-2
 
Juventus turin leo tunashinda
hawa ni wanangu wa damu

striker wetu Gonzalo Kibonge Higuain
na mdogo wake Paulo Dybala

tunazuia kama Italy tunashambulia kama Argentina
SAA 21:45 sio mbali ndugu, Madrid kushinda ni must. Afe ronaldo afe Zidane.
 
Watu wengi walidhani madrid atatolewa na psg. Ila leo wote wamehamia madrid kuitoa juve, Kama mnakumbukumbu vizuri mtajua kwamba madrid anapata shida sana akikutana na juve ktk hatua ya mtoano, namaanisha mechi za home and away. Juve leo watacheza wakiwa na kikosi kilichopungukiwa watu wawili muhimu Pjanic na Benatia. Angalizo, Madrid akitaka kumtoa juve ajitahidi sana ashinde mechi ya leo. Ila akitoa sare tu au akifungwa basi ajiandae kuyaaga mashindano.
 
Daaah, Chama Langu hilo
Buffon
De Sciglio , Barzagli, chielini, Sandro ,
Khedira, Marchisio or Bentancur , Matuid
Dyabala, Higuain, Costa
 
Ila Allegri akipanga kama alivyofanya mechi na Milan kipindi cha pili ingependeza kweli.
kushoto alimweka Douglas Costa , kulia Cuadrado, juu dyabala na Higuain kati akamwacha mnyama Bentancur na Matuid. Milan walikua hawaelewi umkabe nani.
 
Jamani vipi sisi Wa Azam tutacheki hili gemu kupitia chaneli gani? Au sisi tusubili stand vs ndanda
 
Back
Top Bottom