Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #2,361
Huu mchapo si wa kuukosa, baada ya kuangalia timu yangu Gunners tukiwachapa Totts kwao 3-0 nahamia kwenye hii game ambayo itaanza 6.00pm EAT.
Tutegemee soka safi, lakini mara nyingi mechi kati ya timu hizi mbili ni vurugu tu.