Imebaki nusu saa, ubingwa ndio unatutoka hivi hivi.
IMO it is too early to predict the outcome of this season, because we don't know what will be the results of the remaining games.
Tatizo tukishakuwa nyuma ya Barca ni nadra sana kutokea timu ya kuwasimamisha wale jamaa. Na mechi za ukingoni Madrid kwa kawaida huwa wanafanya vibaya kwasababu majeruhi na wachezaji wanakuwa tired kwasababu ya mechi nyingi. Lakini tusubiri tuone.
Naendelea kusisitiza carlo kakosa mbinu kwa hawa jamaa...kiakil tumeathirika na hapo ndo msingi wa tatizo
Yaani na mimi nashangaa hawa Atletico wametugeuza wateja wao sasa, hii sawa hata kidogo mbona kipindi cha Morinyho tuliwaweza hawa wavuta bangi:what:
Mechi ya RMA na Barca ya March 22nd ni very crucial kwa RMA kushinda ili waweze kujiweka nafasi nzuri ya kutetea ubingwa, ila itakuwa na ushindani wa hali ya juu.
Nashukuru sijaangalia hii gemu ningeumia sana.
Sasa Real wamejiweka kwenye nafasi mbaya sana ya kuchukua ubingwa, kuwafunga Barcelona nyumbani kwao inawezekana lakini sio jambo la mchezo. Na sasa hivi hata wakicheza mechi za Champion league timu nyingine zimeshajijenga kisaikolojia kwamba jamaa wanafungika.
Football ni mchezo wa ugonjwa wa moyo kweli.