Hahaaahaaahaa, that is why i love don Carlo. Wakati isco anatoka tulikuwa tushazidiwa, haukutakiwa mpira wa kuremba aliokuwa anacheza Isco, pale ilikuwa inahitajika creative midfielder ambaye mwenye uwezo wa kuchezesha timu kutokea chini. Wakati huo uwe firm katika defence, kumuingiza Illara ilikuwa ni kumpunguzia majukumu ya kukaba Kroos na at same time awe huru kuichezesha timu kwa mipira mirefu kutokea chini.
Ila bad ni kuwa fans walikuwa wanataka isco abaki wakati game ilishachange toka katika kuoneshana uwezo na dribles nyiingi, na kuegemea katika mbinu zaidi.