Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Madrid kwisha kazi yako.
Ancelotti bye bye bye mwisho wa msimu ndo kwaheri yako
Na walikosea muuza huyu Di Maria na kuleta wajinga jinga hao
 
Me kila siku nawaza ipo siku aibu ya kipigo kitakatifu itatuhusu...kama siyo ligi ni UCL

We tall unaiona timu vizuri sana, tunakwenda Camp Nou na mchezo kama ule wachazaji alimradi tu wapo uwanjani. Na jamaa sasa hivi wanataka kulipa kisasi, basi aibu yetu.
 
Barcelona square off against Rayo Vallecano in
tomorrow's early Liga kickoff. Should this scoreline
endure, then a win for the Catalans will put them top of
the table outright!

Ubingwa tutauchukulia kwenu march 22
 
They dominated the game because majority of the time they were faster than RMA players.


We had a chance to concentrate on LA LIGA after losing to Atletico in Copa Del Rey. Lakini wachezaji kila siku wanaonyesha Ferrari na Bugatti mpya tu kwenye instagram, uwanjani hamna kitu. Hakuna haja ya kuwa na wachezaji ghali wakati tunafungwa na mtu wa nafasi ya tisa kwenye league table.
 
Ila wadau wa madrid , timu sasa hivi haina ari na morali ya mpira. Timu inacheza hovyo sana, kuumia kwa james timu imekosa balance.

Leo anceloti kwa muono wangu kafanya technical errors za kufa mtu. Isco alikuwa atoke mapema sana amepoteza mipira mingi sana, wa pili kutoka alitakiwa awe illara na wa tatu kutoka alikuwa awe benzema. Without mtu wa kupiga penetration pass sikuona umuhimu wa chicharito kuingia kwani ni mbovu kwa aina ya mpira iliyochezwa leo na pia bilbao walikuwa wanacheza mpira wa kujazana sana kati

Baada ya benzema kutoka ilipaswa aingizwe jesse akacheze winga na bale winga nyingine. Sub ya illara ilipaswa aingie Lucas silva na sub ya Isco angeingia khedira kustablize hali ya mambo pale kati na kumpa kroos uhuru wa kucheza na kunyanyua mipira kwani alishakuwa na kadi ya mapema so hakuwa useful tena kwenye ukabaji na mpira wa pass haukuwa na nafasi tena. At these moments, namkumbuka Angel di Maria.

CC : Salamander.

Naona majirani wa catalonia wamevamia uzi. Haahhahaa
 
If Barcelona take the lead tomorrow against Rayo Vallecano.Good luck at Camp Nou, Real Madrid. We gonna need it.
 

Madrid kuanzia Kocha, Raisi na wachezaji
Hakuna motivation kabisa yaani toka wamefungwa ma Atletico mara ya kwanza hadi leo wanapigwa tu.
Hawakuwa na sababu ya kumnunua James kwa hela nyingi na kumuondoa Maria.
Hata kumuacha Iker aendelee daka ni makosa.
Waliweka fitna Mo akafukuzwa sasa sijui watamsingizia nini
 

ESPN | Real Madrid's Liga BBVA title chances after the loss to Athletic.

 
Cha kushangaza bilbao kacheza jumatano coa del ray na espanyol yaani kapumzika siku mbili tu , lakini kamfunga madrid wakati madrid kapumzika wiki nzima
 
Cha kushangaza bilbao kacheza jumatano coa del ray na espanyol yaani kapumzika siku mbili tu , lakini kamfunga madrid wakati madrid kapumzika wiki nzima

Ha ha ha leo ni furaha tuu!!!
 

James anastahili kucheza madrid, Mourinho kuondoka was right kwa sasa timu imechoka. With Ramos, James and Modric out, timu imekosa creativity kabisa.

Sasa sijui ni kocha ama wachezaji waliochukua hatamu hawana uwezo na hawaelewi. Isco kadri siku zinavyoenda analewa sifa na perfomance inashuka, illara licha ya kupewa playtimr kubwa ametudissapoint, Bale naona kabisa amechoka, Ronaldo morali imepungua, Benzema toka aumie james amekosa makali, beki naona wanakosa amshaamsha za ramos.

So kiujumla timu nzima haipo sawa.
 

Kweli hakuna motivation, na combo ya Perez na Ancelotti imeshindwa kuwatuliza wachezaji kisaikolojia. Swala la kina Di Maria tusahau sasa, kwani Real Madrid washapita wachezaji wengi lakini sasa ni historia. Kuhusu Mo, waliomfanyia fitna ni ant-madridista baadhi yao ni viongozi serikalini) kwani walikuwa na nia ya kuiweka Atletico pale ilipo.
 

Wajinga sana, Diego Lopez alionesha uwezo wa hali ya juu sana.
Lakini Madrid walivyomosa shukran wakamuondoa na kumuacha Iker.
 
POST MATCH ANALYSIS:

Athletic Bilbao 1-0 Real Madrid

Real Madrid never looked like winning today,no good scoring chance was created by us.The players kept overplaying the ball and slowed down the pace of the game after conceding a great goal.Nothing could have been done about that.


This is the same Real Madrid side which was scoring goals for fun and every game was ending with atleast 3 goals being scored by Real Madrid. The only difference bw now n then are Modric n James' injuries.Modric used to control the momentum of the game where as James scored or assisted in nearly every game.He was a great chance creator. After Modric and James injuries, Isco has taken all the responsibility of carrying the ball from midfield towards the opposition's box where he finds BBC heavily marked which leaves him with just 2 options,either to pass to them or send it wide towards Marcelo or Carvajal.


Bale is far from his old self,he seriously needs to cut his hair and look at his old videos.Benzema is so unselfish that he either passes to the keeper or nutmegs himself even if he finds himself alone in the attacking half.Our attack is now overly reliant on the Full Backs and we aren't creating any good chances through the centre of the pitch.La Liga isn't over yet but we might slip to second position now making the El Classico even more important.


Ancelotti needs to change his tactics, Real Madrid has pacey playera but we can hardly score goals on counter attacks this season.This type of slow motion outdated football can not make us win any trophy.Come on Ancelotti and Real Madrid,DO SOMETHING!



‪#‎HalaMadrid‬
 
Wajinga sana, Diego Lopez alionesha uwezo wa hali ya juu sana.
Lakini Madrid walivyomosa shukran wakamuondoa na kumuacha Iker.

Honnestly lopez alikuwa flop most of games, ni vile tuu mourinho alimsukia ukuta mzuri ukiongozwa na ramos na mourinho alishamuharibu iker kisaikolojia.
 
We tall unaiona timu vizuri sana, tunakwenda Camp Nou na mchezo kama ule wachazaji alimradi tu wapo uwanjani. Na jamaa sasa hivi wanataka kulipa kisasi, basi aibu yetu.

Unadhani mkuu...yaan kila nkiangalia perfomance za mechi toka mwaka uanze naona kabisa kuna siku tutapata aibu ya mwaka,sioni jinsi yakuifunga barcelona ile ambayo ina ukuta mbovu ila katika kuja mbele wanaelewana sana haswa ule utatu wao,sisi ukiangalia bale kama ninavyosema kila siku,sa hivi nae amekuwa dume la nyani,anautaka kwa nguvu ufalme wa ronaldo kitu ambacho kinaigharimu timu maana mpira mbele haukai na hakuna kasi kama msimu jana...kikubwa ambacho nakizungumza kila siku,kocha kashindwa kuamsha morali ya wachezaj,kuna maamuzi ya maana sana yanatakiwa yafanyike mojawapo nikumuanzisha bale benchi au james modric atapokuja...leo kocha kachangia 80% kipigo hiki,ameshindwa kufanya maamuzi wakat muafaka,inaonekana kabisa ton na illara wamezidiwa,yeye kaendelea kucheza mfumo huo huo,unaona kabisa mbele leo benzema akili ilikuwa inataka ila mwili hautaki,alikuwa anapoteza sana mipira..badala yakumtoa huyo umuingize silva ili isco apande mbele acheze nyuma ya ronaldo,yeye kaacha hadi dakika za majeruhi wakat jamaa wameshafunga milango yao,kingine sub mbovu kabisa,timu inayocheza mchezo kama wako tena kwa 100% vzr zaid yako afu unafanya sub yakumuingiza mchezaj wakuotea unategemea nini hapo??sijaona umuhimu wakumuingiza chicharito wakat timu ilihitaji mtu wakukimbia na siyo mviziaj...pale angeongeza viungo tu nakumuingiza jesse mapema sana after HT,ila hili swala la bale na ronaldo ni jambo linaloua timu taratibu na kwa uhakika,angalia pasi anazotoa bale kwa ronaldo,ni mradi kapiga mpira kwa sababu ameshindwa jinsi yakufunga na hata respons ya ronaldo kwa mipira ya bale siyo yakuridhisha hata kidgo na mara zote anakuwa kiakil hajajiandaa,na angalia pasi za ronaldo akiwa eneo la 18 mara nyingi bora ampe pasi ndefu mtu mwingine ila siyo bale...na hapo ndipo chanzo cha upotevu wa mipira unapoanza...leo mimi nasema neno moja tu ni kuwa TUMECHEZA KIWANGO KIBOVU hata kama tuiongoza katika takwimu za pasi nakuposses mpira ila ni POOR PERFOMANCE...
 
Gareth Bale has gone 8 straight official matches without a goal and 7 straight without an assist
 
Carlo Ancelotti at Press Conference after the 1-0 loss to Atlétic Bilbao:

Ancelotti: "There is no connection. We have to play faster and with fewer touches"


"With the changes sought to give freshness to the team. I used Jese and Bale to help the strikers"


"Physically we have pushed a lot in the second part, always in the attacking half. It's not a physical problem"


"The problem is clear in our attack tactic"


"We played pretty slow, with too touch. No good circulation and therefore the front stayed without spaces "


"I have a very large part of the responsibility. My team is playing poorly and have full responsibility "


"The league is going to complicate from this, but will fight to resolve the situation quickly"


"I do not think it's about attitude. I see the problem as I have explained: the game of attack "


"The team is compact, focused on goals faster ... We must fix our problems"


"Today, if we appreciate the game of the BBC, was not good, but not the failure of the three. All the team has responsibility"



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…