Na uwezekano wa kufungwa hizo mechi zote upo tena mkubwa sana.
Timu ilianza vibaya, ikaja kukaa fresh tena mechi 22 kwa kushinda. Kosa kubwa kule dubai walipotufunga kina Milan ndo ikawa imefungua njia ya kina Atletico, Valencia kutufunga, Villa kutukomalia hadi kesho kufunga ni option