Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Mkuu pierre tall, kusema kweli leo anceloti katufungisha, na kuongezea isco na illara hawakustahili kurudi uwanjani kwa kipindi cha pili. Problem kubwa leo ilikuwa kwa isco. It is time now bale aanzie bench kwa mechi kadhaa na winga ichukuliwe na jesse.