Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hadi sa hv kwa mtazamo wangu naona kukosekana kwa beki zinazopanda hizi za pembeni kunasababisha hawa jamaa kutumia winga zao vzr kutushambulia,na sijui ndo benchi limeawathir hawa jamaa wawili kias kwamba hawajiamini kabisa....japokuwa coentrao kajisahisha kwa kutoa cross safi ya goli,kingine naona hizi beki za kati hazina maelewano,seems kama wanategeana hizi kuclear,kias kwamba naona dogo isco anapata kazi ya ziada kuja hadi chini kukaba....nafikir kocha anatakiwa amtoe bale na coentrao,...amuingize bambucha marcelo na mjomba modric....wakat huo dogo jesse apashe
 
HALF-TIME: Real Madrid 2-2 Schalke (Ronaldo, 25', 45' / Fuchs, 20'; Huntelaar, 40')

 
Angalau Ronaldo kapoza machungu. Ila Ancelotti aondoke tu jamani
 
Bale aondoke nae, naona kama vile anakuwa mchoyo kutoa kwa Cr7.
IKER NAE ANATOLOSTISHA SANA
 
Na kingine naona kama kross leo ananichanganyia habar...badi sijamuelewa vzr,anatengeneza gap za ajabu ajabu
 
Hahhahahahha....itakuwa coentrao kanisikia....ananipa burudan hapa sasa,afu naona kama ronaldo anaondoka na mpira leo
 
Hahahhahahhahahahah....dah,hawa jamaa wanafunga magoli mazuri asee,cassilas ananizingua kabisa leo,sijui amekuwa katika mgao wa escrow maana kama hayupo hv leo
 
Tangu Mondric aingie Madrid wametulia katikati
 
Hahahhahahhahahahah....dah,hawa jamaa wanafunga magoli mazuri asee,cassilas ananizingua kabisa leo,sijui amekuwa katika mgao wa escrow maana kama hayupo hv leo

Mi nakwambia hii ingekuwa Msimbazi au Jangwani angetiwa mtu bakora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…