Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #3,581
Atleti?? TUMETOKA. Gracias stupid Carlo
Hapana, simuamini Carlo hata kidogo. Ni bora nipunguze expectations ili ni-survive hiyo disaster inayoanza jumapili.Usiogope, hawatutoi wale wetu tu.
Hapana, simuamini Carlo hata kidogo. Ni bora nipunguze expectations ili ni-survive hiyo disaster inayoanza jumapili.
Bro, Atleti game ya mwisho wametupiga 4 kama tumesimama na tulikuwa tunaomba mpira uishe. Last 6 games tumecheza nao tumetoka patupu. Hao barca najua wazi hawatishi kiivyo, ila Carlo anafungwa na timu yoyote. Jamaa kushinda sisi tutegemee Individuals watakuwaje that day, sio mbinu za Coach.Ukiongea jumapili, Barcelona beki yao inafungua sana, kwahiyo style yetu ile ya mchezo mabao yapo kitu muhimu ni kudefence mwazo mwisho na kikosi kimehakikisha hiyo kitu.
Kwa game ya Atleti, kama umeangalia mechi ya mwisho ya draw ya 2 - 2, walipata mabao ya kushtukiza ktk sekunde 30
baada ya hapo waka-relax wakawa wasubiri mipira ya vichwa tu. Walidefence sana lakini kikosi chetu japo kilicheza bila formation lakini tukasawazisha mabao.
Bro, Atleti game ya mwisho wametupiga 4 kama tumesimama na tulikuwa tunaomba mpira uishe. Last 6 games tumecheza nao tumetoka patupu. Hao barca najua wazi hawatishi kiivyo, ila Carlo anafungwa na timu yoyote. Jamaa kushinda sisi tutegemee Individuals watakuwaje that day, sio mbinu za Coach.