Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ama kweli benzema ni man of elclassico. Leo ananifanyia kazi nzuri sana uwanjani. hapana hata elclasico moja huyu bwana alikuwa faded.

Hiyo assist ni balaa kwa kweli katumia akili mingi sana.
 

James Rodríguez on Twitter


11073327_906768746042677_4393590676083674310_n.jpg
 
Naangalia TV ya wafaransa...Hawa watangazaji wana mapenzi na Barca bila kificho.
 
El classico ni fujo bin balaa. Hakuna entertainment game.Utadhani mechi za mchangani kugombea mbuzi
 
Back
Top Bottom