Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

90 min+4 FULL-TIME: Barcelona 2-1 Real Madrid

So there we have it. The referee brings the second period to a close with Barcelona running out 2-1 winners courtesy. They are four points clear at the top now...Mapenzi ya Refaree yatukuzwe!
 
Hawa jamaa ina maana wanachukiana kihivyo hadi hawabadilishani jezi au ndo hasira za kufungwa?
 
Hatimaye Enrique kapata ushindi wa kwanza (kama kocha) wa El Clasico
 
fair game so far, Madrid walishindwa kupata ushindi wa mapema. Mwishoni mwa mchezo possession was an issue kwa pande zote walikuws wakipoteza sana mipira. Nimemsikia comentator akisema yawezekana kuwa ni wind factor so far. Technically we are not La Liga favourites though lolote linaweza tokea mbeleni.
 
Kama wengi tuluvyotegemea ndivyo ilivyotokea...madrid tumejitahid haswa kipindi cha kwanza,ronaldo kapokewa nou camp kama ilivyopangwa ila kawapa maumivu ya moyo...benzema na ronaldo leo perfomance yao ilikuwa nzuri sana,modric na isco kama kawaida...sijaona hekima ya carlo kuwatoa isco na modric kuwaingiza silva wakati pale ilitakiwa tulazimishe matokeo ya sare angalau...kwa hiyo kwa pale timu kaiua carlo dakika za mwisho,babu cassilas naona hata mdomo siku hizi umezeeka hawez kuwapanga mabeki tena mwishowe kinachotokea anafungwa magoli ambayo yanaakisi yeye ni mzembe...sijakata tamaa ila tuelekeze nguvu UCL...barca wamestahili kushinda..hala madrid
 
Isco katoka nadhani sababu kulikuwa na too much dispossesion toka katika upande wake, modric kampisha silva aonje heat ya elclassico kwa sababu anaweza na from few touches alizopata kaonesha hilo.

Verane kaingia sababu all center backs zilikuwa na kadi kitu ambacho kilikuwa kinawafanya wasiwe wanakaba agressively. Unaweza ona hilo toka goli la pili, pepe aliogopa sliding tackle, i think angekuwa ramos asingemtreat suarez that much soft.

So far timu imecheza vizuri, isingekuwa refa kutoatoa kadi zisizo na kichwa wala miguu tungeshuhudia mechi nzuri ya El Classico

Neymar ni overated player, leo kawaangusha wenzake barca angefungwa lawama zingekuwa kwake. Iniesta kwangu ndiye alikuwa mtu hatari katika mechi nzima.
 
Poleni Madrid...na tumewakosa bao kibao leo bahati yenu
 
Real madrid wamshukuru neymar kwa kukosa magoli kibao ambayo yalikuwa open chances kabisa ... Na pia neymar alikuwa mchoyo wa pasi , alipoteza mipira mingi sana na alikuwa anachelewesha mashambulizi kwa kukaa na mpira bila sababu...

Real madrid bahati yenu mmefungwa goli mbili tu
 
Poleni Madrid...na tumewakosa bao kibao leo bahati yenu

Mkuu na sisi tumewakosa kibao. Moja refa kaweka mfukoni, moja limegonga mwamba achilia mbali aliyocheza kipa. Game in general ilikuwa ipo fifty fifty.
 
Back
Top Bottom