ama kweli benzema ni man of elclassico. Leo ananifanyia kazi nzuri sana uwanjani. hapana hata elclasico moja huyu bwana alikuwa faded.
Hiyo assist ni balaa kwa kweli katumia akili mingi sana.
HT Barca 1-1 RM
Metheu cr7
mkuu pale ronaldo ndio offside
Barcelona 2-1 RM
Canal nini?Naangalia TV ya wafaransa...Hawa watangazaji wana mapenzi na Barca bila kificho.
Naangalia TV ya wafaransa...Hawa watangazaji wana mapenzi na Barca bila kificho.
Neymar either ni mchoyo au mchoyo ?
Ha ha ha!!! Huyo Salamander kashakata moto!!!