TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Center-half Gerald Pique, Kabla dakika 20 wa-espñol washakaa bao mbili.
i don't know man, Danilo and Dani in the same team? It hasn't worked out with 'Concentrao' and Marcelo, has it?
Official Announcement: Danilo
OFFICIAL ANNOUNCEMENT | 31/03/2015
Real Madrid C. F. and FC Porto have reached an agreement over the transfer of Danilo, he will join the club next season and has a contract until 30 June 2021
i don't know man, Danilo and Dani in the same team? It hasn't worked out with 'Concentrao' and Marcelo, has it?
I see your point hapo kwenye majeruhi, na tunahitaji quality depth. Ila Carlo ni upuuzi wake tu, Nacho anaweza kabisa ku-cover for Marcelo au Dani, ila ye kakariri arbeloa. For sure mmoja wao atapotea tu, and i like both of them almost equally. Dani is a Canterano, Danilo is Brazilian, shida tupu.Nimeona watu wana opinion tofauti kuhusu hili, wengine wanasema Real Madrid didn't need Danilo, wengine wanasema one of them for sure will be wested. Lakini mimi nimejifunza kitu kuhusu majeruhi wa msimu huu, kitu ambacho somehow kisaikolojia kimetunyima ubingwa. Timu inayocheza mechi nyingi per season kama Real, rotation ni muhimu sana. Kulikuwa na kipindi Carvajal akianguka chini watu wote wanabana pumzi mpaka wanamuona ananyanyuka na kuendelea, kwasababu angeumia, sijui ingekuwaje!
I see your point hapo kwenye majeruhi, na tunahitaji quality depth. Ila Carlo ni upuuzi wake tu, Nacho anaweza kabisa ku-cover for Marcelo au Dani, ila ye kakariri arbeloa. For sure mmoja wao atapotea tu, and i like both of them almost equally. Dani is a Canterano, Danilo is Brazilian, shida tupu.
Btw, huyu VDB kumbe alimtoa Isco baada ya 1st half, Sasa kuna nini hapa cha kuangalia?
Huyu jamaa bana kaishiwa kabisa. Alibahatika kuwa na ile golden generation ya barca + El Guaje + Torres + Madrid, aka-copy na ku-paste alichokuwa anafanya Pep, akaishika dunia, akalemaa.Del Bosque sijui anajaribu nini, first half kawasimamisha Pique na Albiol, 16 minutes wamepigwa mbili. Akamuingiza Ramos baadaaaye.