Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,301
Alonso alikimbia. Iko hivi, jamaa mkataba wa mwisho alio-sign na Madrid, aliomba kiongezwe kipengele kitakacho mruhusu kuondoka kama akijiskia hana msaada kwa timu, Club wakakubali kukiongeza. Now, Toni akasajiliwa, kwenye mazoezi kaonyesha ufundi wa hatari, kila mpira Carlo anasema mpeni Toni. Ikaja Uefa supercup, Alonso alikuwa suspended, Toni akafunika. Tukacheza na Atleti game ya kwanza ya Liga Supercup, Alonso akaanzia bench. Hapo kule Bayern, Javi Martinez akaumia, Schweini na Thiago pia walikuwa majeruhi, Pep akamvutia waya Alonso, akamuahidi kucheza. Alonso akaufata uongozi kistaarabu, na since mkataba uliruhusu, wakamuachia.Sometimes najiuliza kwanini walimuuza Alonso wakamuacha yule. Mistake kama hiyo ingefanyika kwa Benzema pia. Kulikuwa na kipindi ilikuwa inapigwa ramli, auzwe Benzema au Higuain. Benzema alikuwa katika kipindi kigumu, na mi nilikuwa naona mtu wa kuondoka pale ni Higuain.
May the injury gods hear my wishes, and keep him company for a minute, even for the remainder of the season. Amen
Marca | Gareth Bale is suffering from muscle overload.
- Bale ended the match with muscle strain and is a doubt for the match against Eibar.
- The next 48 hours will be decisive to determine the availability of the Welsh player.
May the injury gods hear my wishes, and keep him company for a minute, even for the remainder of the season. Amen
Vs Eibar (Home) :
No Cristiano
No James
No Kroos
No Bale (Doubt)
Well, it's Eibar, not Barca. We may as well field Castilla, i'm not worried.
La liga ikifikia stage hii inakuwa haina adabu, mechi kama hizi ndio zilitunyima ubingwa last season. Anyway, labda tuone upande wa pili, no Bale and no Ronaldo kikosi kitachezaje!
With all due respect, kuna timu za kuziwazia, siyo Eibar. Last season tuliukosa ubingwa tuliokuwa-offered kwa sababu ya Coach, tulilazimisha sare game vs Valencia home, tukapigwa na Celta, tukarudi kwenye nafasi tuliyomaliza. Huwezi ku-spend more than anyone else on potentially best players halafu usumbuliwe na kina Eibar, Rayo, na wengine kama hao. Ni aibu
Jinsi nilivyoona game ya juzi against Rayo, kwa msimu huu sina imani tena na timu ile. Rayo walitukimbiza na confidence zote kama wanacheza na Castilla, kitu kilichofanya tushinde game ile ni kwamba wamekosa ufundi na hali ya utulivu wakiwa umbali wa mita 25 kutoka kwa Casillas, la sivyo aibu ingetukuta kipindi cha kwanza tu. Labda sijui Éibar, lakini ukiangalia kwa undani kikosi cha juzi ndio kitakachokuwa Vicente Calderon this coming week, sasa sijui itakuwaje.